Uzi Maalum wa Kuua stress!!!Rushia na Yako Humu.

Uzi Maalum wa Kuua stress!!!Rushia na Yako Humu.

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
Ila wanawake bhna!

Yani umeshatoa mimba tatu mfululizo halafu Kuua mende unaogopa, Si ujinga huo 😡 😡 🙄



Ila Wanawake wanafurahisha 😀
Eti mwanamke mchepukaji anaweza kutoroka kwao usiku halafu kwenda choo cha nje usiku anaogopa
Dada kapimwe Hospital ya Mirembe 😀 😀 😀

sent by OdryDrogen 🙂
 
Back
Top Bottom