Uzi maalum wa kuweka maana LA jina lako LA JF

Uzi maalum wa kuweka maana LA jina lako LA JF

Tyrex

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
2,373
Reaction score
5,100
Kama kichwa cha habari kinavojieleza
Maana ya jina langu limetokana na dinosaurs huyu alikua na mbio Kali sana kama mm nilivo so nkajibatiza jina lake
Tyrannosaurus
IMG_20180402_115733.jpg
IMG_20180402_115712.jpg
IMG_20180402_115803.jpg
IMG_20180402_115648.jpg
 
ID yangu inatokana na course iitwayo GRAPH THEORY AND NETWORK OPTIMIZATION. Hivyo nilichukua maneno mawili ya mwanzo. Na hii yote ni kutokana na kuvutiwa sana na course hii na mambo yake kama vile
1. Minimum Spanning Tree (MST).
2. Chinese Salesman Problem
3. N.k
 
Mimi ni mpole sana,hata nikifuatilia kitu nafuatilia taratibuuuuuu,hasa papuch,mpala sketi zenyewe zinaniletea papuch.kuna sketi moja ilikua arabian ndo ilinipa hilo jina kwa kuwa linaendana na tabia nilizonazo,kwa sasa iko sharjah inaitwa ABLAH.
 
Wafilisti (Mfilisti) ni watu ambao walikua na conflicts na Waisraeli zamani hizo na walipigana vita vingi na waisrael na walikua watu wenye nguvu.

Binafsi siipendi Israel (as country) kutokana na itikadi zao za kisiasa. Nimejiita Mfilisti kuonyesha kua nna uadui na Israel
 
Wait...kwanza hata jin la iD yangu silijui...kwani wenye ufaham tafadhari
 
Back
Top Bottom