Pole sana mkuu, kaza buti au nenda kalime.Huku kwetu Leo tangu asubuh sija-undergo locomotion asee,sina uhakika kama ni palepale nilipopazoea,nahisi ni Jela mkuu maana tunalala na mbuzi,kondoo na ng'ombe,Yale mazizi yako ya Mbao tumechomea mkaa tukapata UNGA japo watu wale tonge.
Kwa Sera ipi?Pole sana mkuu, kaza buti au nenda kalime.
duuh..!![emoji53]Huku vimekaza zaidi hadi bata anakunya kinyesi kikavu
Ukistaajabu ya musa, Utaona ya Firaun mkuu!duuh..!![emoji53]
aisee, na kweli kamandaUkistaajabu ya musa, Utaona ya Firaun mkuu!
Ndio hali ya dunia hiyo mkuu.Nimecheka kama mazuri
Tutakomaa hivyo hamna jinsi kiongozi.aisee, na kweli kamanda
Tutafanyaje sasa na vyuma vimekazwa.Kwa Sera ipi?
Asaiv vi-wonder tu babu.
naam..!! kila kitu kina wakati wake huu pia utapita tuTutakomaa hivyo hamna jinsi kiongozi.
Kweli kabisa, nikuomba Uzima tu, kwa mungu na afya njema. Insha'allah.naam..!! kila kitu kina wakati wake huu pia utapita tu
Tutafika tu mkuu!Njia ya chooni imeota nyasi hapa kwetu.
Kwa jirani nasikia mume anamwambia mkewe "MAMBO YA BEIJING" kila siku asubuhi. Yani haki sawa kwa wote 50/50. Hivyo akiacha bajeti ya mboga mke atajua kuhusu ugali.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Huku mpaka PAKA wamekonda.
KUNGURU wanabeba hadi nguo zilizoanikwa.
Duuuh! Hiyo noma mkuu.Huku kwetu tunashea hadi miswaki