HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,487
- 6,250
Acha tu bora kingekuwa chuma cha mchina kinaweza kuyeyuka hata kwa moto wa mabua sasa hiki nichamjerumani enzi za Hitler[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sio ya kucheka, vitu vingine vinachekesha mkuu!