Uzi maalum wa maisha, halisi huko mtaani kwenu kwa sasa.

Uzi maalum wa maisha, halisi huko mtaani kwenu kwa sasa.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kweli vyuma vimekazwa, waliofoji umri nao. Makazini matumbo joto!
Sasa sijui watatumia carbon 14 maana wazee wengine hawajui walizaliwa mwaka gani. Wanacho kumbuka ni matukio kwa mfano nilizaliwa kipindi cha njaa, vita n.k
 
Wanasema wamekuja, kugutuka kwenye vyeti vya Nida, wengine makzini. Walipunguza miaka, wakati wana ajiliwa, kwenye vyeti vya Uraia wamezidisha Umri, sasa hapo ndio wakawastukia!
 
Wanasema wamekuja, kugutuka kwenye vyeti vya Nida, wengine makzini. Walipunguza miaka, wakati wana ajiliwa, kwenye vyeti vya Uraia wamezidisha Umri, sasa hapo ndio wakawastukia!
Familia nyingi sana zitapata tabu. Ila kuna wazee wamesha ng'oa meno yote na bado tu mamegangamala maofisini.
 
Huku kwetu zamu za kusafisha choo zimeisha siku hizi watu hatupishani tena msalani kwaajili ya njaa.
 
Huku kwetu, napishana na watu njiani wanaongea peke yao, hata bila ya kuwasemesha!
 
Hii safari ni ngumu ila tutafika kwa mbinde mkuu. Yaan sasa hivi kukutana na mtu kapishanisha vifungo vya shati au kavaa viatu rangi tufauti mchukulie poa tu maana wote si vichaa bali ni vyuma vimekaza tena vya mjerumani mkuu.
9c3dd65fd34725e069816441f5f3d0af.jpg
Kama hivi, ee mkuu!
 
Back
Top Bottom