Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

Naenda uwanjani ikumbukwe na mafua.nilitaka kusita kufanya mazoezi lakini inasemekana mazoezi yataondoa mafua.narudi kujiandaa lakini kwanza naangalia.vitu vifuatavyo naenda lakini nitarudi
 
Mazoezi yanafanyika Kisha ndani ya ibada hiohio msisitizo Ni Kuwa angalau hata kwa dakika mbili kuona tu nakugusa tunapata faraja kamili.tunafanya unbelievable plays kwani giza linaingia lakini tunapatia tunapata Tiba ya macho Kisha tunaondoka tunasitisha na kurudi kuzungumza habari za MUNGU
 
Swali Lina loanzisha na Mimi kwenye mazungumzo Ni juu ya habari ya uwepo wa mbinguni na namna ya kufika mbinguni.tuko watu watatu mgeni wetu ameshiriki
Nukuu
-roho Ni nguvu ya utendaji kazi yaani mambo mazuri
-anayefanya mambo mabaya Hana roho
-mbinguni ya mwili huu wa nyama Ni katika ardhi kwa sababu baada ya kufa mwili hurudi katika udongo na Kisha husikii njaa tena Wala husikii Moto tena
-lakini roho hii tunataka kabla ya kufa uwe umemuona mwenyezi MUNGU
-knowledge Ni kwa ajili ya masikio.na moyo Ni kwa ajili ya macho
-mtu huona kile kilichopo moyoni
-kama katika moyo wako hakuna mawazo ya ALMASI hata ukikutana nayo huwezi KUIJUA Wala kuhangaika nayo
-yesu Kiwa msalabani hakuona mwingine Zaidi ya mwenyezi Mungu wote dunia yote walikuwa adui zake..aliyekuwa nao hawakuwa naye tena
-jaribu Kuwa yesu ikishindakana Basi kuwa hata petro yaani maanake kAa karibu na watu ambao Wana muelekeo mzuri
-kufa hakuna tatizo lakini kazi kubwa Ni kusambaza maarifa hata mtu ukifa katika process ya kusambaza knowledge haina MATATIZO.ila inakuwa haina maana Kama ukifa halafu dunia haijui Wala haikulili.
-wako watu ambao wanazungumza kwa niaba yao wenyewe husema Mimi,wako ambao Ni kwa niaba ya wengi mfano rais husema sisi
-wako ambao kwa niaba ya MUNGU Hawa sio watu wabinafsi
-inatakiwa ujipambe kwa umaskini..umaskini uwe pambo lako hapo utaishi very wonderful life..yaani hata mtu akija kukupiga bunduki atatoa machozi
-tunapozaliwa tukiwa watoto wadogo tunakuwa weupe Ni Kama mtoto tu wa nyani.kazi kubwa Ni kuingiza knowledge
-hatuwezi kuishi kwa kula na kulala pekee hata tembo hufanya hivyo..
Pesa na mali Ni kwa ajili ya watu..hata mengi Reginald amekufa baada ya mwaka hutasikia tena kiwanda Cha mengi itakuwa Ni ya watu wengine wameshangawana ..
-katika msafara huu usihusishe mke Wala mtoto
 
Dakika 10 baadae naondoka na kuelekea NYERERE road (code)..napita katika kipori kinene keep nachotisha kumbuka ni usiku na njia hio inatisha Sana Niko na mzigo wa pesa kubwa naogopa kutekwa lakini hatimaye nafika na kufanikisha
So narudi nikiwa na imani mafua Yale yameisha kwa sababu ya yale mazoezi
 
Kuna jambo linatokea saa mbili kamili usiku.. barabarani gari linasimama kimakosa napata jukumu zito na la muhimu lakini nasukumwa na dhamiri nzuri nafanya kazi kubwa na ya pekee.askari wa barabarani anapokuja anaagiza gari liondoke Mara moja.narudi kwenye mazoezi ya squats 30.kisha usafi Kisha Nikaingia katika meditation 20:40
 
Sasa si usiende
 
Jambo Zuri Sana Boss.
Japo Kuna Vipingamizi Na Vikwazo Vya Hii Dunia Ila Tunapaswa Kujitahidi Kwa Kadri Tuwezavyo.
Sisi kichwa kichafu Mimi lengo langu kubwa Ni kufa nikiwa nimemuona mwenyezi Mungu yaani kwa namna yoyote lazima tuijue KWELI
 
Jambo Zuri Sana Boss.
Japo Kuna Vipingamizi Na Vikwazo Vya Hii Dunia Ila Tunapaswa Kujitahidi Kwa Kadri Tuwezavyo.
Ndio hasa Mimi nataka tujue shetani Ni sisi wenyewe hakuna shetani.isipokuwa absence of goodness ndio kitu ambacho tunakiita shetani.nataka tu ifight hii ujinga ndo maana nataka tuepuke mabaya kwa KU replace na mema.tusaidie watu Kama sisi tuna uwezo.afya ndio Jambo la kwanza.mimi nachoamini tuna weza kuishi bila dawa,bila utajiri,bila shida
 
Alafu inaonekana unafanya biashara haramu Nisha connect dots na kuunlock password
Wewe Mimi nakwambia hivi Mimi nataka kuthibitisha kwa macho na Kisha naamini Kuwa kitabu kikubwa cha Mungu Ni maisha yako.kila mja Ni shahidi wa nafsi yake mwenyewe..tuna amini Kuna kweli na Kuna UHAKIKA.mimi kwa mtazamo wangu Kuna watu ambao wapo duniani.wanafanya kazi nzuri sana hata wakifa wanakuwa wameacha hekima kubwa ambayo inaweza kutumia kwenye kazi za kisanaa, kisiasa,. Tuna dini nyingi DUNIANI na kila dini inaona dini ya mwenzake Kuwa Ina udhaifu.wajibu wetu Ni kununua kilicho Bora ndio maana tunasema Kuwa tutaishi kwa nyakati na Kuwa usahihi na kwa uhakika na kwa uhai.
 
09:30
Location:memorize first wisdoms.. writing my first book..going by the title😛ENYE
 
Umedai kuwa huu uzi ni wa maisha yako, mbona sioni ukipost ukiwa chooni, ama kwenyewe si sehem ya maisha?!!
 
Umedai kuwa huu uzi ni wa maisha yako, mbona sioni ukipost ukiwa chooni, ama kwenyewe si sehem ya maisha?!!
Chooni hata nyani anaenda hata mende anakunya tu..sisi tunataja tuithamini humanity walio nayo wanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…