Wewe Mimi nakwambia hivi Mimi nataka kuthibitisha kwa macho na Kisha naamini Kuwa kitabu kikubwa cha Mungu Ni maisha yako.kila mja Ni shahidi wa nafsi yake mwenyewe..tuna amini Kuna kweli na Kuna UHAKIKA.mimi kwa mtazamo wangu Kuna watu ambao wapo duniani.wanafanya kazi nzuri sana hata wakifa wanakuwa wameacha hekima kubwa ambayo inaweza kutumia kwenye kazi za kisanaa, kisiasa,. Tuna dini nyingi DUNIANI na kila dini inaona dini ya mwenzake Kuwa Ina udhaifu.wajibu wetu Ni kununua kilicho Bora ndio maana tunasema Kuwa tutaishi kwa nyakati na Kuwa usahihi na kwa uhakika na kwa uhai.