Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Huyo mwalimu wako mgiriki ni mwanaume au mwanamke??Mda wote maji Ni muhimu bila kujali Kama jua Ni Kali au Kuna mvua.target Ni kunywa maji angalau mpaka ukojoe Zaid ya Mara kumi tena utoke mkojo msafi so tunaendelea na huu utaratibu
Mwalimu wangu kupitia tiba za kigiriki anadai ndizi sio tunda zuri sana linachangia ulcers,heartburn matatizo mengineyo..nimemuuliza apple akasema Ni zuri Zaid kwa nchi zenye baridi.lakini tikitimaji ndio best among fruits kutumika around the globe...anyway kwa Mimi bado kijana naweza kula banana ili nikifikisha miaka 40 itanibidi niwe makini sana na ninachokulaView attachment 1095251
Natanguliza pole za dhati kwa mke wa huyu jamaa.Kumbe ni mtu mzima mwenye ndoa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Ama kweli wanawake tuna huruma sana.
Good. Maono yako yawe kama utakavyo. Mana nacho ni kipajiKama Nimeweza kuendelea kuchat na watu kwenye simu na sikuwahi kuchoka kwanini mije kuchoka kuandika maelezo mafupi ya maendeleo yangu ya kiroho,jinsi navyojifunza knowledgeable mbalimbali na jinsi navyotunza afya yangu..nafuatilia sana kwa ukaribu hili Jambo Kuna kitabu pia ambacho nakiandika ambacho Baadhi ya hoja zake zitatokana na muendelezo wa hii story yangu
Chaputa ni nn msaada mkuuUliwahisema wewe ni mwanachama mtiifu wa chaputa, umesharudisha kadi kuanza hii safari yako unayoiita ya kiroho?
Wacha kuhusisha bange na vitu vya kijingaUnaonekana handsome gentleman wa nguvu..utakuta una career yako huko mfano mwanasheria..bila humu unaandika mambo ya kibangebange sana..
Behaviourist
Natanguliza pole za dhati kwa mke wakoYeah,nimeoa mwaka wa pili sasaView attachment 1095713
Chama Chawapiga Punyeto TanzaniaChaputa ni nn msaada mkuu
Kuchanganya watu tu sada Chachaputa si ndio ingekuwa kifupisho bora zaid, anyway ahsante.Chama Chawapiga Punyeto Tanzania
😅ndege JOHN katika ubora
Nashukuru mwenyeziMungu.naandika mengine pia katika journaling manually baada ya ushauri wa member fulani.mimi naamini sifanyi hivi kwa ajili ya kumfanya fulani afurahi.nataka nionyeshe knowledge inatakiwa isambazwe sio ifichwe.mimi mwenyewe nafanya chochote kizuri ambacho kitanipa farajaBig up brother all the best wengine hapa bado tunaandika kwenye diary...si kila mtu anafurahia unachokifanya nimeikubali spirit yako.
ndege JOHN katika ubora