Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

Kabla ya mazoezi tunafanya kwanza yoga stretches kwa ajili ya Kuwa fit Zaidi tumekuwa pamoja na watu watano na tumefanya angalau mwanzo mzuri.magonjwa yote na shida zote zinaletwa na uzembe na kula vibaya.tunapiga Vita vitambi kwa kufanya mazoezi ili kuondoka kwenye hatari ya kupata kisukari na pressure.
Mazoezi yameenda vizuri na kwa mafanikio Mungu amesaidia pamoja na kwamba Ni masika tumeweza kutoa jasho.
Angalau kidogo kwa nusu saa au li saa tumeweza kupata faraja.haya ndiyo maisha ya kuishi maisha Kama vile mbinguni..so there are physical paradise, mentally paradise na spiritual paradise.nusu saa kwa workout yenye kutoa jasho inatosha kabisa kuweka mbali mawazo.
The perfect game kwangu ni tennis.no injuries,full blood circulation,full participation,full body concentration na hakuna kuchoka.so kesho tunaendelea na tuna imani utapatikana muda.
Hakuna kuchoka???? Hiyo sio tennis Sasa labda KITENESI
 
Tunafanya mazungumzo na mmoja wa mdau wetu ambaye ameipenda technics ambazo tumezibuni.anaitwa Mr LEO..ni kijana ambaye anatujulisha juu ya mipango yake ya kuoa miezi miwili ijayo.tumempongeza sana na ametuomba Ushauri wa kibiashara wa mzigo wake anaoutafutia soko.tukamaliza kazi ile ya siku hiyo pamoja nikaondoka kuelekea katika ibada.mr leo nimempa habari za mwanamke fulani ambaye ameathiri sana maisha yangu mwanamke huyu anaitwa bahari.naondoka mida ya 02:30
 
Mahali nilipotakiwa Kuwa muda fulani na cancel baada ya taarifa ya uwepo wa mtu wa kuziba nafasi ya kazi ile.so na pita na njia ambayo sio kabisa njia ambayo nimepita Mara nyingi kwenda sehemu ya hatari
IMG_20190514_144900.jpeg
chochoro iliyo karibu na njiapanda ya jela,upotevu wa pesa.nitakuja kueleza baadae kwa Nini njia hiyo Ni baadae katika need me isave Kama kiporo.
 
Baadae ya kupita njia ile naangukia tena katika mtego ambao nao nauweka Kama kiporo Cha stori yangu..karibu na nilipoenda ambapo naonekana kutopapenda nakutana na mmama ambaye namjua anataka maelezo nimfundishe mdogo wake kutengeneza kazi fulani.wakati naendelea kumpa maelezo yeye na baadae kunipa simu na kumpa maelezo wananishukuru.naondoka na kueleza kwa Gregory.gregory Ni ofisa wa zamani wa serikali katika Taasisi fulani.amekuwa msaada mkubwa kwangu na ushauri wake(system knowledge) lakini yeye pia ana matatizo makubwa sana ya kimaisha na kifamilia ambayo yanampelekea kunywa pombe kupita kiasi ila Ni mtu mwenye uwezo wa Hali ya juu sana.gregory yupo katika list ya watu ambaye nimepanga kumnunulia vitu fulani ambavyo naamini nitamrudisha katika nafasi yake nzuri ya mwanzo.mwingine aliye katika list hii Ni ndugu magufuli ila sio huyu rais huyo Ni mwingine magufuli na yeye Ni mshauri wangu mkubwa.nadhani week hii nipate nafasi ya kwenda kuonana naye.
 
Baada ya kumkosa gregory katika bar (nyumbani kwake).naondoka na kuelekea kituo Cha mabasi.lakini napitia gal sporting katika branch fulani natengeneza jamvi na kusepa
IMG_20190514_161535.jpeg
nanunua muhindi na kuanza kuula baadae kabisa jioni naumwa tumbo nagundua umesababisha wenyewe kwa sababu sikula chochote kwa muda huo so naondoka na gari na kuelekea katika ibada
IMG_20190514_161602.jpeg
chumvi na ndimu sikuweza kutumia naipinga kwa sababu Madhara ya chumvi tunaelezwa
 
Nafika na kushuka katika kituo ambacho kipo karibu na ofisi ya mwanamke wangu.lakini sipitii katika ofisi yake kwa sababu fulani fulani..nakutana na mdau fulani wa fundi wa magari na ambaye tulishuhudia naye tukio la juzi usiku la ajali..tumelikumbusha hilo tukio mbele ya watu wawili
KUHUSU TUKIO LENYEWE.ilikuwa usiku wa saa Saba siku ya jumamosi usiku wa kuamkia jumapili.BIG mwenye Prado anavaana uso kwa uso na rasi mwenye IST.big anaposhuka na watu wake wawili wanamshambulia rasi na kweli rasi ndio alikuwa mwemye makosa kwa kupita site ambayo siyo ya kwake.baadae anatokezea.askari kanzu ambapo anajaribu kutuliza Hali iliyopo kwa kuwaambia Kuwa yeye Ni polisi na anafanya kazi masaa 24. lakini big na kampani yake wanakuwa wajeuri na Kisha wanamsukuma askaripolisi katika maji big anajiweka katika mtego wa matatizo.baadae anakuja Askari traffic anapima ajali na kuchora mchoro Kama taratibu zake.askari anahaidi kulala mbele na big..wapambe wa big wanakuwa wapole demu aliyebebwa na big anaondolewa,rasi anakimbia,gari zinabebwa to kituoni.BIG Ni mtoto wa KIONGOZI mkubwa serikali.
So hio stori inatupa FUNZO kubwa sana juu ya Kuwa makini sana katika maamuzi
Tunapata chakula na tuna fanya workout kidogo na watu wangu wa karibu Zaidi .nawaahidi tutafanya yoga lakini tukamuangalie kwanza dkt tunapopita tunamchukua mtoto mwingine na kwenda nae tukifika nikatoa taarifa Kisha nikarudi kujiandaa.tukafanya hizo stretches za yoga lakini kwa uchache sana naelekea Sasa kwenye ibada.mwanamke wangu kupitia simu anaomba msaada wa kuchukuliwa hela yake na kupelekewa sehemu fulani nafanya hivyo Kama alivyoniomba
 
KWA KUWA MUDA ULIENDA SANA TUNASHINDWA KUFANYA MAZOEZI.DKT ANASHAURI TUKATAFUTE CHAKULA KATIKA HOTEL ZA KIHINDI MJINI KARIAKOO ANAAGIZA KOTI NA PESA.LAKINI BAADAE TUME CANCEL SAFARI HIYO BAADA YA KUONGEA KWA KIREFU HABARI ZA MUNGU..KAMA IFUATAVYO MAzumgumzo.ya muhimu kabisa na makubwa.
 
KUHUSU KNOWLEDGE
TUmekubaliana kwamba knowledge haipaswi kufungiwa Bali iwe wazi

KUHUSU OM SWAM
mwandishi akiandika vitabu vingi sana Basi ataishia kurudia rudia Mambo yale Yale

KUHUSU DINI YA UKRISTO TANZANIA
dini hii haina mchango wowote wa kuwafanya watu waijue hakika..
Kuna stage mbili ya UKWELI NA UHAKIKA...ukweli ya biblia ilikuwa kwa kipindi kile sio sasa.bahati mbaya wachungaji na manabii wameichukua Kama ilivyo bila changes yaani wanaongea vitu ambavyo hata wenyewe hawana uhakika..wengine wanamtumia yesu kufundisha Mambo Ni yale Yale
sio wote wanaofanikiwa Ni watu wenye akili.hata wahindi wenyewe wanatajwa Baadhi popular wanaonekana Kuwa successful lakini wametumia knowledge hii hii
KUHUSU UISLAM
INA PRINCIPLE NI DINI AMBAYO KWA SHERIA ZAKE ITAKUWA NA MISIMAMO KATIKA MAADILI.TUMETOA MFANO MASHEKHE HAWARUHUSIWI KUWA WANAWAKE SHERIA HIO IKO WAZI..UISLAM NI BORA KWA TANZANIA KULIKO UKRISTO...BAADA YA MIAKA 50 WANAWAKE WATAKUWA KAMA WANAUME..KATIKA MCHANGO WAO..YAANI CONCEPT YA NUSU NUSU ITAPATA NGUVU SANA HATA SASA KUNA WANAWAKE WEMGI WABISHI AMBAO WANAONGOZA WATU KATIKA IBADA LAKINI HATA BIBLIA ZIMEKATAZA JAMBO HILO YAANI WANAWAKE WANATAKIWA WANYAMAZE WAKAMUULIZE WANAUME ZAO WAKIFIKA NYUMBANI..

KATIKA MABILIONI YA WATU DUNIANI WAJINGA NI WENGI SANA LAKINI TUNA MATUMAINI KWA KIZAZI KIJACHO MIAKA 50-100.WATAZALIWA WATU WENYE UWEZO MKUBWA
LAKINI KITABU CHA MUNGU KABISA AMBACHO KINAWEZA KULETA MAPINDUZI DUNIANI KINATAKIWA KIWE NA PAGES ZISIZOZIDI 15.

WAKO WATU AMBAO WANAWEZA KUFANYA ANALYSIS YA TAARIFA FULANI WANAYOSIKIA KISHA
1.WAKO AMBAO WATAIBORESHA
2.WAKO AMBAO WATAIKOSOA
3.WAKO AMBAO WATAICHUKUA JINSI ILIVYO
SO UWEZO WA UELEWA UMETOFAUTIANA SANA NA NDIO UMELETA MATATIZO HAYA

BADO TUMEFANYA MAZUNGUMZO KUHUSU HISTORY YA MWANADAMU WA KWANZA KWA KURUDIA STORI YA ADAMU,WAISRAELI WA KALE
HAPA NILIPATA NAFASI YA KUJIFUNZA MENGI KUHUSU CIVILIZATION NA UKWELI KUHUSU WATU WALE AMBAO WAMEWEZA KULETA DINI
SCIENCE INA MUWINDA DINI
NA DINI INAMVIZIA SCIENCE
WOTE HAWA WANA KNOWLEDGE MUHIMU
LAKINI MTU ANAWEZA KUWA DOKTA AU MKEMIA MZURI ILA ASIJUE NAMNA YA KULA NA KULALA.
NIMEJIFUNZA UMUHIMU WA KUTOKA STAGE YA UKWELI KWENDA KATIKA STAGE YA UHAKIKA.
 
Kabla sijaondoka ofisini anaingia mama ambaye ana matatizo na asingependa nisikie so natoka nje kidogo lakini anapoaga msisitizo mkubwa tunaompa Ni azingatie kupunguza uzito..yeye ndiyo anayejua namna ya kujipunguza.kila siku tunafanya hili kwa bidii tunapinga unene Ni mbaya.naondoka kupata chakula
IMG_20190514_201054.jpeg
 
Saa tatu kamili ya usiku ninapata kikombe Cha maziwa huku nikisoma al hikam wisdoms zake


Lengo kubwa Ni kufikia uwezo wa kuji disconnect na Mambo ya dunia hii.wajibu wetu Ni kumuona Mungu katika kila aspects.nature, biology, traditional,medicine, science yaani tujue kweli zote.tunataka secret knowledge ambazo watu wanazo.ninaamini wapo watu tusiowajua wenye uwezo mkubwa sana wa kiutambuzi.
IMG_20190514_205828.jpeg
Screenshot_20190514-210138.jpeg
 
Aiseee!! Watu wanapenda show off Sana!


Hizo picha anazosema ni zake mbona ninazo kwenye cm yangu! Heheheh
Huyo jamaa kwenye picha ni mwimbaji wa injiri kutoka Ghana, Kama atabisha ushaidi ninao,ntaumwagi hadharani.
 
Usalama upo ndugu yangu. Acha tuendelee kuifuatilia hii Filamu tuone mwisho wake.
Sijujua ndege JOHN anatumia vigezo gani kuamua matukio gani aandike na yapi aache, au anaandika yote?
Kuna kitabu nakiandika kinaitwa njia nyembaba Ni kitabu kinachoelezea mambo mengi kwa maneno machache yaani kinaonyesha maisha ambayo Ni very wonderful..huku tunachagua matukio ambayo yanaendana na objective za kitabu kile
Kwanza tunathamini sana swali la kustay health yaani tunataka kufuata kwa makini kanuni zote za afya,so huku jf nathibitisha kwa vielelezo Yale ambayo tunatakiwa tuyafanye..napenda Mambo ya roho kuongea Mambo ya Mungu ilu kupata faraja so humu nafanya hivo Ni mtu wa kawaida ambaye ninatunza kumbukumbu kwa matukio ambayo nitaona yanafaa ila mwengi nitayaandika yanayolala kwenye apsects hizo nilizotaja
 
Hii lazima uchoke na upotee kwa muda,,, utaweza mpka mwaka uishe wa pili na kuendelea??
Kama Nimeweza kuendelea kuchat na watu kwenye simu na sikuwahi kuchoka kwanini mije kuchoka kuandika maelezo mafupi ya maendeleo yangu ya kiroho,jinsi navyojifunza knowledgeable mbalimbali na jinsi navyotunza afya yangu..nafuatilia sana kwa ukaribu hili Jambo Kuna kitabu pia ambacho nakiandika ambacho Baadhi ya hoja zake zitatokana na muendelezo wa hii story yangu
 
Kuna kitabu nakiandika kinaitwa njia nyembaba Ni kitabu kinachoelezea mambo mengi kwa maneno machache yaani kinaonyesha maisha ambayo Ni very wonderful..huku tunachagua matukio ambayo yanaendana na objective za kitabu kile
Kwanza tunathamini sana swali la kustay health yaani tunataka kufuata kwa makini kanuni zote za afya,so huku jf nathibitisha kwa vielelezo Yale ambayo tunatakiwa tuyafanye..napenda Mambo ya roho kuongea Mambo ya Mungu ilu kupata faraja so humu nafanya hivo Ni mtu wa kawaida ambaye ninatunza kumbukumbu kwa matukio ambayo nitaona yanafaa ila mwengi nitayaandika yanayolala kwenye apsects hizo nilizotaja

Uliwahisema wewe ni mwanachama mtiifu wa chaputa, umesharudisha kadi kuanza hii safari yako unayoiita ya kiroho?
 
IMG_20190515_054836.jpeg
me Baada ya kuamka saa 11 ninakunywa maji glass moja Kisha nikafanya yoga possess zifuatazo


Pamoja na cobra poss
Screenshot_20190515-053000.jpeg
Screenshot_20190515-053010.jpeg
Screenshot_20190515-053157.jpeg
Screenshot_20190515-053403.jpeg
Screenshot_20190515-053338.jpeg
Screenshot_20190515-052807.jpeg
Screenshot_20190515-053931.jpeg
Screenshot_20190515-054029.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20190515-053403.jpeg
    Screenshot_20190515-053403.jpeg
    10.6 KB · Views: 23
Baada ya hapo nikaoga na kupata uji
IMG_20190515_061436.jpeg
uji lishe wenye grains mbalimbali uko vizuri sana kwa afya.badala ya kunywa green tea kwanini usinunue ngano,ulezi, pumpkin seeds,mahindi.
 
Nikiwa katika daladala mida ya saa moja linatokea tukio zuri sana.konda anampitisha kituo mama mwenye mtoto mdogo na Kisha Yule mama anakataa kumpa nauli konda anampokonya nguo ambayo kamfunikia mtoto..abiria wanaongea ongea konda anasema huyu Dada ana dharau dereva ondoa gari..kabla gari halijaondoka napata ujasiri wa kumpokonya konda ile baby shower Kisha nampelekea Yule mama mtoto ananishukuru sana.gari ile inaondoka nasubiria gari nyingine napanda naondoka.hakuna nilichopoteza na hata nauli yenyewe ilikuwa bado hatujamlipa Yule konda mwanaizaya
 
Aiseee!! Watu wanapenda show off Sana!


Hizo picha anazosema ni zake mbona ninazo kwenye cm yangu! Heheheh
Huyo jamaa kwenye picha ni mwimbaji wa injiri kutoka Ghana, Kama atabisha ushaidi ninao,ntaumwagi hadharani.
Yule Ni yeye ndege JOHN
Acha kuchafua Uzi na wivu.
John namfahamu vyema KABISA
 
Back
Top Bottom