ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
- #61
Tyson @wasumbufu wa kizazi..Ni idea ambazo umenitumia na nimeikubali anyway ngoja kwanza niweke Mambo yangu sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ni mtu mzima mwenye ndoa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Ama kweli wanawake tuna huruma sana.
Hii Davet sio hata rule kwa kweli.. Maana inakinzana na sayansi
Nashukuru sana Cuthbert..nimethamini sana mchango wako positively na kwa kweli naufanyia kazi ushauri wako.mbeleni nitaboresha Zaidi kwa kuongeza muda wa kujifunza nashukuru yupo mtu fulani wa MUNGU ananisapoti sana katika kazi hii amenikaribisha kwake kujifunza knowledge mbalimbali ili niive vizuri.Nimeipenda idea yako, move on lakini inahitaji maboresho mengi mbele unakoenda mwisho utapata kitu kizuri sana.Tatizo letu wabongo tunafikiriaga mwisho wa pua. Katika wazo kunavitu vi tatu.1- hakunaga wazo baya wala zuri.2-Wazo zuri linaweza kuwa baya.3- wazo baya linaweza kuwa zuri, inategemea na wewe mtoa wazo unalichukuliaje wazo lako. Tafuta study case nyingi ktk vitabu utapata nachosema, muhimu ni muda, keep learning everyday ndiyo maana hata technology inabadilika kila leo
Kwaiyo jamaa kaamua kumlalia mwenzake kwa juu wanacheza kigwaji gwajiMaisha na mziki
Katika playlist yangu hutamkosa songa,ghetto na kad go namkubali usipime
Nimemiss killinge Cha msasani B Na mwaka Jana freestyle rap battle ya micasa ya Riverside tulifanya kidogo Sanaa hii nimesikia wamehamia micasa ta magengeni sijui Kama kinaendelea nifuatilie aseeView attachment 1095474 hii Ni official hii Ni show nzito..unataka kucheza njoo disco haijalishi unatoka kariakoo or Miko cheni..songa mtata View attachment 1095475 niliyatafuta ya dunia, Sasa nimeyaacha nautafuta upendo usionitupa right here.....View attachment 1095477RIP LEGENDARIESView attachment 1095478beat lake zuri na ubunifu wake unanikoshaView attachment 1095476
[emoji28]Mwanzo nilikua naona kama wazo flani hivi la kibange lakini kadri muda unavyoenda naona kuna kitu katika idea yako..
Keep it up. Kwa heshima na taadhima naomba ni u subscribe huu uzi. Kuna kitu cha kujifunza since elimu haina mipaka