Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

Tyson @wasumbufu wa kizazi..Ni idea ambazo umenitumia na nimeikubali anyway ngoja kwanza niweke Mambo yangu sawa
 
Screenshot_20190513-190958.jpeg
sawa vitabu vyako Ni popular na hasa hiki Cha if the truth be told .lakini watu wanalipia hela nyingi kukusikiliza na vitabu vyako vinauzwa kwa Bei hili Jambo linamsikiitisha mtu wa MUNGU ndo maana tunabaki kukubali vitabu vya kiroho havipaswi kuuzwa lakini bado tuna Nia ya kuvitafuta na kujifunza Zaid.
Screenshot_20190513-191011.jpeg
 
Maisha na mziki..maji sio ya kuuliza
Time 20:14
1557767629668.jpeg
 
Time:20:30..
Location:mwenge
Wali+Sato+tembere.
Next time tusichelewe kula Ni makosa inatakiwa tule kabla ya saa moja jioni
Baada ya hapa nadhani tutapata muda wa kusoma Mambo mbalimbali Kama ambavyo nitasukumwa na dhamira yangu
1557768541394.jpeg
1557768630414.jpeg
 
Nimeipenda idea yako, move on lakini inahitaji maboresho mengi mbele unakoenda mwisho utapata kitu kizuri sana.Tatizo letu wabongo tunafikiriaga mwisho wa pua. Katika wazo kunavitu vi tatu.1- hakunaga wazo baya wala zuri.2-Wazo zuri linaweza kuwa baya.3- wazo baya linaweza kuwa zuri, inategemea na wewe mtoa wazo unalichukuliaje wazo lako. Tafuta study case nyingi ktk vitabu utapata nachosema, muhimu ni muda, keep learning everyday ndiyo maana hata technology inabadilika kila leo
 
Kuhusina na chakula Cha wali bado tuna tafakari namna gani nzuri inayofaa kuacha kutumia maana wali sio mzuri.haufai Zaid kwa wenye matatizo ya pressure na kisukari.nimewaza hata na nyama napaswa kupunguza sana wahindi wamenivutia sana hawapendi kabisa ulaji wa nyama wanajua Madhara yake
Tunapenda sana tule chakula kidogo
Ugali+kabichi/matembere+maziwa mgando
Chapati+choroko
Maji+tikitimaji
 
Nimeipenda idea yako, move on lakini inahitaji maboresho mengi mbele unakoenda mwisho utapata kitu kizuri sana.Tatizo letu wabongo tunafikiriaga mwisho wa pua. Katika wazo kunavitu vi tatu.1- hakunaga wazo baya wala zuri.2-Wazo zuri linaweza kuwa baya.3- wazo baya linaweza kuwa zuri, inategemea na wewe mtoa wazo unalichukuliaje wazo lako. Tafuta study case nyingi ktk vitabu utapata nachosema, muhimu ni muda, keep learning everyday ndiyo maana hata technology inabadilika kila leo
Nashukuru sana Cuthbert..nimethamini sana mchango wako positively na kwa kweli naufanyia kazi ushauri wako.mbeleni nitaboresha Zaidi kwa kuongeza muda wa kujifunza nashukuru yupo mtu fulani wa MUNGU ananisapoti sana katika kazi hii amenikaribisha kwake kujifunza knowledge mbalimbali ili niive vizuri.
 
Majitu mengine sijui yanakula bange mbichi..
 
Maisha na mziki
Katika playlist yangu hutamkosa songa,ghetto na kad go namkubali usipime
Nimemiss killinge Cha msasani B Na mwaka Jana freestyle rap battle ya micasa ya Riverside tulifanya kidogo Sanaa hii nimesikia wamehamia micasa ta magengeni sijui Kama kinaendelea nifuatilie aseeView attachment 1095474 hii Ni official hii Ni show nzito..unataka kucheza njoo disco haijalishi unatoka kariakoo or Miko cheni..songa mtata View attachment 1095475 niliyatafuta ya dunia, Sasa nimeyaacha nautafuta upendo usionitupa right here.....View attachment 1095477RIP LEGENDARIESView attachment 1095478beat lake zuri na ubunifu wake unanikoshaView attachment 1095476
Kwaiyo jamaa kaamua kumlalia mwenzake kwa juu wanacheza kigwaji gwaji
 
Mwanzo nilikua naona kama wazo flani hivi la kibange lakini kadri muda unavyoenda naona kuna kitu katika idea yako..

Keep it up. Kwa heshima na taadhima naomba ni u subscribe huu uzi. Kuna kitu cha kujifunza since elimu haina mipaka
 
Niliamka saa 10 usiku.nikafanya jambo fulani la hatari kwa ajili ya matumizi ya baadae mida ya saa mbili.ghafla umeme ukakatika na nikaamua kurudi kulala..ghafla ukarudi halafu sekunde kama tatu ukakatika tena Ni Kama shoti ya umeme.nikapitiwa na usingizi Kisha nikaanza kuota ndoto isiyoeleweka
Kwamba Kuna sehemu napenya katikati ya mgahawa Nika force mpaka nikaharibu viti vya watu,akapita mzee fulani ambaye sikuweza kumtambua akanionyesha njia ya kupita siku nyingine nikiwa bado nipo katika ndoto nikaota kwamba Ni asubuhi na mapema mimekutana na mateja wawili mmoja anauza viazi mwingine ana mfuko ambao anaokota machupa.huyu wa mfuko amesimama karibu na gereji ambayo pia wako mafundi ila wamechoka choka kwa Kuwa Ni asubuhi.mwenye gereji anauza machuma chakavu.. nikaendelea kuota nimetengeneza juice ya tangawizi na vitunguu swaumu lakini bahati mbaya Jambo hilo limemchukiza mtu fulani(wa karibu) ambaye ameamua kuichanganya katika dumu la asali na nyingine kuimwaga chini sakafuni Kisha akaniagiza nitengeneza juice ya matunda.
Nikashtuka ndotoni ilikuwa Ni saa 11 na dakika 45..nikaanza kuandika ndipo Sasa na umeme ukarudi
 
Thom rafiki yangu wa karibu amenitumia meseji mida ya 05:55 kutaka kujua update ya kazi ya Leo..nimeamka ili nikaoge niwahi usafiri kumfuata ndugu Thomas.
 
Back
Top Bottom