Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

mazingira ya utapeli yanaandaliwa mida ya 15:28
 
Naam
 
Naweka maji Lita mbili na nusu katia jug Kisha nakunywa mdogomdogo
Time 15:40-15:50
 
Saa 15:54
Natengeneza juice ya mchanganyiko wa ginger na garlic..baada ya kusaga nitapata dawa ambayo huwa nakunywa Mara kwa Mara Ni nzuri kwa afya.sote tunajua Faida za vitunguu swaumu na tangawizi katika kutibu bacterial infection na kuimarisha kinga kitunguu swaumu vya 500,tangawizi ya 500
 
Kumbe ni wewe nimeshakufahamu.
 
Kumbe ni wewe nimeshakufahamu.
 
tuna blender mchanganyiko wetu Kisha tunachuja Yale maji mchanganyiko Hui unaweza kuchanganya na vijiko viwili vya asali.tunatumia angalau Lita moja na nusu kwa siku mbili kila week.hii Ni kwa ajili ya kuondoa sumu mwilini
Ambia hivi,Mimi napenda vitu vizuri vipewe nafasi Kuliko vitu vibaya.nataka knowledge nzuri inapokufikia usiishie kusoma Ni muhimu Zaidi kui practice.sisi tunahamasisha watu kuzingatia Sana kwenye ulaji tunaamini kabisa mwanadamu anaweza kuishi bila dawa za hospital.
 
Mimi napenda watu waishi bila dawa au sindano.yaani tuboreshe Yale mapungufu so chenye me nataka tujue tunakula Nini na kiasi gani.haitakiwi usifuatilie afya yako..inatakiwa tuondoe sukari na mafuta katika vyakula hasa kwa wanaokaa sehemubza joto
Tunachotakiwa kuongeza mazoezi
 
Saa 12 kasoro tumeanza mazoezi yetu.ni ndani ya ibada tunachotafuta Ni kutoka jasho.kutoka jasho Ni sehemu ya ibada yetu
 
Tume:18:12
Location:tabata
Baada ya kumaliza ibada na kutoka jasho na kupata faraja.tunagawa kitu fulani chenye maajabu sana kwa mtu wa MUNGU..kitu hicho kinatengenezwa kwa process fupi yenye kutumia Moto..mtu huyo tumempa kwa sababu ameonyesha Nia ya kutaka kununua bure.tumefanya hivyo ili tukamsaidie,tumefanya hivyo mbele ya mke wake..alionyesha uwezo wake japokuwa Ni beginner lakini alifanya Kama senior tumemtaka ajitahidi ndani ya siku kadhaa awe mwalimu.baada ya hapo tukaondoka outdoor ground
 
Saa 12 na robo jioni
LECTURES WANAFUNDISHA KWA KUTOA MANENO MDOMONI AMBAYO YANAKUWA NI KAMA DHAHABU NA ALMASI KWANI YANABADILISHA MAISHA YA WENGI.SO MTU WA MUNGU ANATAKIWA AONGEE MANENO MAZURI DUNIA MZIMA ITAMFUTA YEYE IKAMSIKIE..





MBINGUNI NI HAPAHAPA DUNIANI..UNAWEZA KWENDA MBINGUNI BILA HELA..
MFANO FUNDI MMOJA KAPELEKEWA GARI AKAGONGA GONGA NA NYUNDO SEHEMU KISHA MWENYE GARI AKAAMBIWA ATOE DOLLAR 10..AKASHANGAA AKAMWAMBIA FUND KWANINI UNANICHAJI BEI KUBWA WAKATI HATA KIFAA HATUJABADILISHA..FUNDI AKAMJIBU "KUGONGA GONGA GARI NI DOLLAR MOJA LAKINI DOLLAR TISA NI KWA AJILI YA KICHWA MAANA CHENYEWE NDIO KIMEJUA KIGONGE WAPI NA WAPI KISIGONGE ISINGEKUWA HIVYO TUNGEGONGA KWENYE KIOO.
NIKAONDOKA NA WATU WATATU TUKAELEKEA SEHEMU NYINGINE
 
Time 19:20 jioni
Location:ndani ya ofisi yangu
Nimeingia ofisini Mara moja huku nikipata juice yangu nikaendelea kusoma threads za education mentor..Kisha nafanya kazi fulani ambayo itaniingizia pesa.
 
-nakula mapema angalau kabla ya 19:30 usiku
-nakula greens kwa wingi
-nakula kidogo
 
Ikiwa bado ni saa moja Natoka ofisini na kuahirisha kazi niliyokuwa nafanya Kisha naenda kununua mzigo fulani ambapo naporudi nakutana na BIBI ambaye tumekutana katika ibada yangu lakini yeye alienda workouts ya lisaa limoja na nusu kwa mguu.bibi huyu ame retire miaka 12 iliyopita kwa Sasa ana 72..anavutiwa Sana na maelezo yangu kuhusu ule mzigo nilioubeba..tunaongea akwa KIREFU mpaka muda ambao mwanamke wangu anapita akitoka kazini..anapita anasalimia kwa juu juu.nayakumbuka maneno ya Bibi Yule..Ni mdau wa afya anapenda kutunza afya yake
-hatumii soda
-amepewa lift ameikataa kwa Kuwa objective yake ilikuwa kutembea
-amenipa stori flani kamili ya mtu wa MUNGU ambayo sio tu imeniongezea details Bali imenifanya nizidi kumpa credit Yule bwana.
 
Narudi ofisini nikiwa na maziwa mgando ambayo nakunywa polepole huku nikifanya kazi yangu ofisini
Time:20:15 pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…