Uzi maalum wa mashabiki wa Mbeya City FC

Kweli bhana majamaa yana fitina mbaya sana. Inkumbusha story ya Tukuyu stars ✨ walivyoibuka na kubeba kombe kisha kupotea mazima mpaka leo.
Wanashindwa wenyewe kwenye uwekezaji, wanakariakoo fitna zipo kwenye uwekezaji⛹️.
 
Marehemu kafa

Sababu ya kifo chake?

Kaangukiwa na jani la mchicha

Kufungwa kwa simba kumewapa watu exposure ya kuandika special thread
Mkuu Mbeya City hawakuanza juzi hizo advertise zao. Washabiki wa Mbeya City ni vichaa kwenye masuala ya mpira kama mashabiki wa Timu za Afrika ya Kusini. Kuna mwaka kulikuwa na Mechi kati ya Mbeya City na Yanga, Mashabiki wa Mbeya City walikesha wakiimba na kushangilia. Pale Uyole (Junction) kulikuwa na kundi kubwa la mashabiki wa Mbeya City walikuwa wakipita mashabiki wa Yanga na magari yao hawakuruhusiwa kushangilia wakipita eneo hilo. Sema tu kumfunga Simba imewapa mileage zaidi kwa kuwa hawajawahi kufanya hivyo. Sasa bado kumfunga Yanga, siku hiyo sijui itakuwaje.
 
Waifunge Yanga ipi wewe?
 
Tunasema hivi, kwenye uwanja wetu wa Mapinduzi, Yanga itataga
 
Back
Top Bottom