Andika barua kwa meneja wa wilaya/mkoa uliopo kuomba kuhamisha hiyo TIN,uipeleke ziwe mbili watazigonga mihuri moja watakupa ubaki nayo,baadaya kama ya wiki mbili utaenda mkoa unaohamishia biashara utarikuta file lako huko hapo umemaliza.Wadau habarini za mida hii,
Leo nilikuwa kwenye mchakato wa kulipia mapato ya biashara yangu TRA ila nilipofika kwenye ofisi zao nikaambiwa napaswa kuhamisha TIN yangu kutoka nilipoikatia (mkoa tofauti na nilipo) kuleta mkoa nilipo ndipo niweze kulipia mapato...Naombeni uzoefu kwa yeyote ambaye alishafanya hii, utaratibu wa kuhamisha ukoje?....
Asanteni
sio jambo rahisi kiasi hicho mkuu!!eti hata ukimpigia simu!!!hakuna kitu kama hichoNi rahisi. Muandikie email au barua meneja wa mkoa husika ukimueleza kua umehama mkoa. Ni jambo la dakika 2 tu wanahamisha fasta.
Hata ukimpigia simu meneja wa mkoa uliokua ni jambo la muda mfupi tu.
Sasa mkuu wewe ulikuwepo kabisa kwa wahusika muhimu wanaojua haukuwauliza alafu unauliza huku ? ila nadhani kwa kuwaandikia barua officially wanaweza wakawasiliana information zako zikawa transfered from point A to B
Pia ingawa TIN ni moja ila biashara hata kama ni branch au nyongeza ya biashara nyingine inakuwa na certificate yake.., kwahio kama una biashara nyingine mkoa mwingine na hii mkoa mwingine utapewa certificate mbili zenye namba moja ila location tofauti.., kama ulifunga ile biashara ya kule itabidi / ilibidi uwaandikie barua ya kuacha kufanya biashara ili waache kuhesabu madai.., unless otherwise mpaka kesho wataendelea kukudai
sio jambo rahisi kiasi hicho mkuu!!eti hata ukimpigia simu!!!hakuna kitu kama hicho
Soma hapo juu nimeandika nini cha kufanya,ukishawakabidhi hiyo barua wewe nenda huko unakohamia file litahamishiwa hukoNipe uzoefu mtaalamu
Ni rahisi. Muandikie email au barua meneja wa mkoa husika ukimueleza kua umehama mkoa. Ni jambo la dakika 2 tu wanahamisha fasta.
Hata ukimpigia simu meneja wa mkoa uliokua ni jambo la muda mfupi tu.
1. Kuhamisha TINWadau habarini za mida hii,
Leo nilikuwa kwenye mchakato wa kulipia mapato ya biashara yangu TRA ila nilipofika kwenye ofisi zao nikaambiwa napaswa kuhamisha TIN yangu kutoka nilipoikatia (mkoa tofauti na nilipo) kuleta mkoa nilipo ndipo niweze kulipia mapato...Naombeni uzoefu kwa yeyote ambaye alishafanya hii, utaratibu wa kuhamisha ukoje?....
Asanteni
Ndio tatizo la kufananisha fb na jf!!! Mimi nimeshahamisha TIN sana, lakini sio kwa utaratibu huo uliousema eti hata kwa simu tu!!! Hahaaa hapa jf watu hutoa ushauri/msaada kwa uzoefu walionao sio kukurupuka kama uliyosema wewe, mambo ya ki ofisi ni documentation, kwangu nina..... Kama wewe, heshima mbeleDogo nina uhakika 100% na nilichokiandika.
TRA hawana shida kuhusu kuhamisha TIN.
Nenda ofisi ya TRA iliyo karibu na wewe upate huduma.
Mimi nilihamisha wiki iliyopita. Kama ulivyosema, 2 minutes. Nilikuwa na TIN Certificate yangu na kitambulisho. Walinihamisha from Mkoa wa Pwani tu DSM ( Ubungo) in 2 minutes.Mimi mwaka Huu mwezi wa 4 nilihamisha kutoka Temeke kuja Kinondoni. Nilienda TMK ni Dakika 2 tu. Wanakuambia Tayari. Ila itabidi uende na Tin No na ID yotote me nilikua na Leseni ya Udereva.
Kuna mtu aliniambia unaweza ata piga simu au ukaagiza mtu. Ila kupiga cm naona itakua sio possibble maana wanauliza ID
Mimi mwaka Huu mwezi wa 4 nilihamisha kutoka Temeke kuja Kinondoni. Nilienda TMK ni Dakika 2 tu. Wanakuambia Tayari. Ila itabidi uende na Tin No na ID yotote me nilikua na Leseni ya Udereva.
Kuna mtu aliniambia unaweza ata piga simu au ukaagiza mtu. Ila kupiga cm naona itakua sio possibble maana wanauliza ID
Hakuna mfanyakazi wa TRA, anaweza akawa na ushauri kama ule!!! Tofautisha fb na jf!!Sikiliza dada, mimi na wewe tuko tofauti, mimi hii kazi ndio kazi yangu, wewe kama unaenda ofisi za umma kuonyesha makalio lazima utachelewa kupata huduma maana lazima ushikwe shikwe makalio na upigwe miti ndio uhudumiwe.
Ukienda ofisi za umma nenda kikazi utahudumiwa haraka usiende kutangaza na kuonyesha watu mqundu, utacheleweshewa huduma.
Huo ndio utaratibu, sasa huyo jamaa mmoja eti anaongopea watu eti hata kwa kupiga simu tu wanahamisha,!!! Nimembishia eti ni mfanyakazi wa TRA, badala ya kujibu hoja anakimbilia matusi,Mimi nilihamisha wiki iliyopita. Kama ulivyosema, 2 minutes. Nilikuwa na TIN Certificate yangu na kitambulisho. Walinihamisha from Mkoa wa Pwani tu DSM ( Ubungo) in 2 minutes.
Mimi nilishakuwaga na tatizo kama ilo. Mpaka leo sijajua hatima yangu, mwaka 2012 nilifungua TIN ya bihashara pale Mwanza. Lakini mlolongo wa kupata Leseni ya bihashara ikawa ngumu nenda uku rudi uku mpaka nikashindwa kupata Leseni ya bihashara.Huo ndio utaratibu, sasa huyo jamaa mmoja eti anaongopea watu eti hata kwa kupiga simu tu wanahamisha,!!! Nimembishia eti ni mfanyakazi wa TRA, badala ya kujibu hoja anakimbilia matusi,
1. Kuhamisha TIN
Kuna member hapo juu white wizard kaelezea vema. Nakushauri fuata ushauri huo. ie andika barua kwa incharge ktk Tax Sevice Centre yako, state clearly unahmishia TIN yako ktk Tax Service Centre ipi, then baada ya muda rudi kufuatilia kama suala lako lishafanyiwa kazi ukiwa na copy ya barua ile uliyoomba uhamisho wa TIN
2. Kulipia kodi
Ungeomba karatasi ya malipo ya kulipia kodi hy ya mapato hata hapo ulipo ungepewa pasina kujali na tawi lako au laah. Vlvl Tax Consultant aliesajili anaweza kukuprintia pia karatasi ya malipo ukalipia hata akiwa ofisini kwake