Pre GE2025 Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu Salam,

Naanzisha uzi huu maalum kwaajili ya kupata matukio yote ya kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Tunajua mambo mengi hutokea na kashkash huwa nyingi, hivyo uzi huu utatumika kama record ya matukio hayo yote, na kuja kusaidia Gen Alpha kuwa na sehemu itakayowaweza kupata matukio yote yanayohusu mambo ya usalama ambayo yatakuwa yametokea katika kipindi hiki.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Haya ni baadhi ya matukio niliyoyaona so far, mnakaribishwa kuongeza matukio mengine Wakuu.

~ Singida: Baba Askofu Machumu akamatwa kwa Uchochezi
~ Huenda sababu ya Askofu Mwanamapinduzi kukamatwa ni kauli yake "...Bwana alitoa, CCM wametwaa, jina lao lilaaniwe!"
~ Polisi yaanza uchunguzi kufuatia tukio la utekaji wa kijana aliyechoma picha ya Rais
~ Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi
~ Polisi wazuia maandamano ya wamasai Ngorongoro kupinga kunyimwa haki ya kupiga kura
~ Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
~ Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
~ Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
~ Polisi yawaachia kina Mbowe kwa dhamana, baadhi wakwama
~ Polisi yatoa taarifa ya kukamatwa kwa viongozi na wafuasi wa CHADEMA, wawataka kufuata sheria
~ Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea
~ Mahakama yaamuru Polisi kuwatafuta viongozi wa BAVICHA (kina Deusdedith Soka) waliopotea
~ Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika
~ JWTZ mmetulinda vizuri dhidi ya maadui wa nje, sasa tuna maadui wa ndani wanaopaswa kuchukuliwa hatua
~ Kuelekea 2025 - Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!
~ CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
~ Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Kuelekea 2025 - Waziri Masauni avitaka Vyombo vya Usalama kulinda Amani Uchaguzi Mkuu
~ Waziri Kivuli ACT Wazalendo: Polisi wasitumike Kisiasa kwenye Uchaguzi
~ Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
~ Maandamano ya CHADEMA: Mbona Jeshi la Polisi halijajibu maswali ya msingi waliiyoulizwa na CHADEMA, badala yake wanaendeleza vitisho vyao?
~ CHADEMA isitishe maandamano, isiingie kwenye mtego wa Polisi. Umma una maswali mengi kwa Polisi tunataka majibu
~ Muliro: Wanaoshangaa kuwaona Askari Mtaani wakiwa na mitutu, wana vimelea vya uhalifu
~Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano
~ Hivi CCM huwapa nini Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na kupelekea wao kukaa kimya hata pasipobidi?
~ Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

~ LGE2024 - Kilimanjaro: Inadaiwa Polisi wakitumia gari ya Mwenyekiti wa Halmashauri wameenda kubandika orodha wagombea nje ya muda kinyume na sheria
~ LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
~ Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo
~ Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe
~ Jeshi la Polisi laonya mikusanyiko isiyo halali Uchaguzi Serikali za Mitaa, lasema raia wasijichanganye na uvunjivu wa amani
~ Askofu Shoo: Kampeni zimeanza na upinzani wameanza kunyanyaswa!
~ LGE2024 Ruvuma: Mgombea wa ACT akamatwa kwa tuhuma za uchochezi

KIPINDI NA BAADA YA UCHAGUZI
~ LGE2024 TANZIA Manyoni: George Juma Mohamed, Mgombea wa CHADEMA auawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia tar 27, 11, 2024
~ LGE2024 Kigoma: Kamanda wa Polisi apiga kura, asema wananchi waachane na mambo ya kulinda kura, wawaamini mawakala
~ Dar es Salaam: Mgombea wa CHADEMA aliyeuliwa kwa risasi, Kamanda Muliro asema amefariki kutokana na shinikizo la damu!
~ LGE2024 Tanga: Watu wanne wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura
~ LGE2024 Polisi Rukwa: Vijana CCM hawakuwa na nia ya kuchoma nyumba ya Mbunge
~ LGE2024 Kigoma: Vijana wawekwa chini ya ulinzi kwa wizi wa kura baada ya polisi kuingilia kati
~ LGE2024 Songwe: Mwenyekiti CCM achomwa kisu cha utosi, Polisi yawakamata Viongozi wawili CHADEMA
~ LGE2024 Katavi: Mgombea Mpanda adai amepigwa na Diwani, Polisi Kata asema hana uwezo wa kumsaidia
~ LGE2024 Polisi: Aliyekuwa mgombea wa CHADEMA hakutekwa, alijificha ili asigombee nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa
~ LGE2024 ACT Wazalendo: Vyombo vya Dola vilitumika kuweka kura bandia kwenye maboksi ya kura
~ LGE2024 Songwe: Jeshi la Polisi linawashikilia Gidion Siame na Fiston Haonga wa CHADEMA kwa kosa la kujeruhi
~ LGE2024 Tabora: Kada wa CCM ajiua baada ya Kada wa CHADEMA kushinda Uenyekiti wa Kitongoji
~ LGE2024 Zitto: Vyombo vya Ulinzi vikishaonja madaraka ya kisiasa watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe
~ LGE2024 Katavi: Inadaiwa Rhoda Kunchela aitwa polisi kwa mahojiano. SACP Ngonyani asema kama kaitwa aitikie wito na si kukimbilia kwenye mitandao!
~ LGE2024 Kigoma: ACT Wazalendo kufungua kesi kuwashtaki Wasimamizi wa Uchaguzi
~ LGE2024 Singida: Polisi wanamsaka Katibu Mwenezi CCM kwa kumjeruhi Katibu wa CHADEMA kwa kisu
~ Kuelekea 2025 Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
~Mke wa mgombea wa CHADEMA Manyoni : Nilimwambia Polisi naomba usimuue mume wangu lakini alimpiga risasi nne

2025

JANUARY

  1. Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza
  2. Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi
  3. Breaking News: - Kuelekea 2025 - Dkt. Slaa akamatwa usiku huu nyumbani kwake Mbweni
  4. IGP Wambura: Polisi tumejipanga vizuri kuelekea Uchaguzi Mkuu
  5. Arusha: Paul Makonda atoa pikipiki 20 kwa Jeshi La Polisi ili kuimarisha Ulinzi na Usalama
  6. Hilda ahoji mapenzi ya Polisi kwa CHADEMA yanatoka wapi wakati wakiwa kwenye mikutano yao au maandamano huwapiga virungu?
  7. Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari
  8. Kuelekea Mkutano wa Katibu Mkuu CHADEMA; Waandishi wa Habari wazuiwa na kuondolewa eneo la mkutano makao makuu ya chama
  9. Jeshi la Polisi: Tumemkamata Dkt. Slaa, tunamhoji na kuangalia mifumo ya Sheria inatuelekeza nini cha kufanya
  10. Dkt. Slaa afikishwa mahakamani Kisutu kwa Shtaka la kusambaza taarifa za Uongo
  11. Mahakama yamnyima dhamana ya Dkt. Slaa kwa kile kinachodaiwa ni hofu ya usalama wake
  12. Kesi ya Dr. Slaa inaendelea Mahakamani bila yeye kuwepo
  13. Kesi ya Dkt. Slaa yapigwa kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025
  14. Dkt. Slaa akosa dhamana, kuendelea kusota rumande hadi Januari 23, Kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni
  15. VIDEO: Dkt. Slaa ndani ya Kizimba cha Mahakama Kuu, akikabiliwa na kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni
  16. Mwendelezo wa kesi ya Dkt. Slaa Mahakama Kuu, leo Januari 24, 2025, Wakili Madeleka ataka Mahakama ifute kesi
  17. Wakili Madeleka: Dkt. Wilbrod Slaa ataendelea kusota Magereza hadi Januari 30, 2025, kwa sababu; "Kuna ugeni wa Marais"
  18. PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo
  19. Mahakama Kuu yaagiza dhamana ya Dkt. Slaa ishughulikiwe haraka
  20. Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri
  21. Danadana dhamana ya Dkt. Slaa; Wakili Madeleka ampongeza DPP kwa kutumia Sheria vibaya kukandamiza Watu
FEBRUARY
  1. Wito kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama: Msiogope, simameni na Wananchi, CCM wanatupeleka pabaya!
  2. Kesi ya Dkt. Slaa imeahirishwa mpaka Februari 18, 2025
  3. Dkt. Slaa kurejea Mahakamani Kisutu leo, Mbivu, mbichi kesi ya kusambaza uongo kujulikana
  4. Mahakama yaamuru Dkt. Slaa kufikishwa Kisutu Machi 4 ili kutolewe uamuzi wa kesi inayomkabili
  5. Kwa sababu za kiafya, maombi ya dhamana ya Dr. Slaa yasajilliwa kwa hati ya dharura Mahakama ya Rufani
  6. Mwenyekiti wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) Joseph Paulo anadaiwa kukamatwa na polisi mkoani Geita
  7. Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha
  8. Mwenyekiti wa walimu wasio na ajira (NETO) aachiwa kwa dhamana kwa shtaka la kujihusisisha na jumuiya isiyo na usajili
  9. Baada ya Mwenyekiti, Katibu wa Jumuiya wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) naye adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi usiku huu
  10. Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi
  11. Polisi Mwanza: Tunachunguza tukio la kutekwa kwa Katibu wa Bavicha Mwanza
  12. CHADEMA Mwanza kuandamana kesho Februari 19, 2025 hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupinga mauaji na utekaji wa viongozi wao
  13. Makada 20 wa CHADEMA wakamatwa wakielekea kwa Mkuu wa Mkoa Mwanza kufuatilia mwenzao aliyepotea kwa siku 12
  14. Dar: Method Damian Kumdyanko adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wakiwa na silaha
  15. Tunataka uchunguzi haraka kutekwa kwa raia wawili Kigoma na Dar es salaam na uzembe wa jeshi la polisi
Karibuni Wakuu.
 
WhatsApp Image 2024-07-22 at 17.02.41 (1).jpeg
WhatsApp Image 2024-07-22 at 17.02.41.jpeg
 
Huu uzi umenisononesha sana.
Mungu Tuhurumie
 
Kesho Kuna Watanzania wenzetu damu zao zinamwagwa bila hatia kwa sababu ya uhuni wa CCM kugomea bukubuku za kugongea mihuri

Mungu aliponye Taifa lake
 
Wakuu Salam,

Naanzisha uzi huu maalum kwaajili ya kupata matukio yote ya kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Tunajua mambo mengi hutokea na kashkash huwa nyingi, hivyo uzi huu utatumika kama record ya matukio hayo yote, na kuja kusaidia Gen Alpha kuwa na sehemu itakayowaweza kupata matukio yote yanayohusu mambo ya usalama ambayo yatakuwa yametokea katika kipindi hiki.

Haya ni baadhi ya matukio niliyoyaona so far, mnakaribishwa kuongeza matukio mengine Wakuu.

~ Singida: Baba Askofu Machumu akamatwa kwa Uchochezi
~ Huenda sababu ya Askofu Mwanamapinduzi kukamatwa ni kauli yake "...Bwana alitoa, CCM wametwaa, jina lao lilaaniwe!"
~ Polisi yaanza uchunguzi kufuatia tukio la utekaji wa kijana aliyechoma picha ya Rais
~ Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi
~ Polisi wazuia maandamano ya wamasai Ngorongoro kupinga kunyimwa haki ya kupiga kura
~ Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
~ Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
~ Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
~ Polisi yawaachia kina Mbowe kwa dhamana, baadhi wakwama
~ Polisi yatoa taarifa ya kukamatwa kwa viongozi na wafuasi wa CHADEMA, wawataka kufuata sheria
~ Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea
~ Mahakama yaamuru Polisi kuwatafuta viongozi wa BAVICHA (kina Deusdedith Soka) waliopotea
~ Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika
~ JWTZ mmetulinda vizuri dhidi ya maadui wa nje, sasa tuna maadui wa ndani wanaopaswa kuchukuliwa hatua
~ Kuelekea 2025 - Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!
~ CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
~ Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
~ Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
~ Kuelekea 2025 - Waziri Masauni avitaka Vyombo vya Usalama kulinda Amani Uchaguzi Mkuu
~ Waziri Kivuli ACT Wazalendo: Polisi wasitumike Kisiasa kwenye Uchaguzi
~ Polisi yapiga marufuku maandamano ya CHADEMA yasema ni haramu. Yasema chama hicho kimekuwa kikipanga mikakati ya kuchochea vurugu
~ Maandamano ya CHADEMA: Mbona Jeshi la Polisi halijajibu maswali ya msingi waliiyoulizwa na CHADEMA, badala yake wanaendeleza vitisho vyao?
~ CHADEMA isitishe maandamano, isiingie kwenye mtego wa Polisi. Umma una maswali mengi kwa Polisi tunataka majibu
~ Muliro: Wanaoshangaa kuwaona Askari Mtaani wakiwa na mitutu, wana vimelea vya uhalifu
~Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano
~ Hivi CCM huwapa nini Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na kupelekea wao kukaa kimya hata pasipobidi?
~ Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

~ LGE2024 - Kilimanjaro: Inadaiwa Polisi wakitumia gari ya Mwenyekiti wa Halmashauri wameenda kubandika orodha wagombea nje ya muda kinyume na sheria
~ LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
~ Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo
~ Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe
~ Jeshi la Polisi laonya mikusanyiko isiyo halali Uchaguzi Serikali za Mitaa, lasema raia wasijichanganye na uvunjivu wa amani
~ Askofu Shoo: Kampeni zimeanza na upinzani wameanza kunyanyaswa!
~ LGE2024 Ruvuma: Mgombea wa ACT akamatwa kwa tuhuma za uchochezi

KIPINDI NA BAADA YA UCHAGUZI
~ LGE2024 TANZIA Manyoni: George Juma Mohamed, Mgombea wa CHADEMA auawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia tar 27, 11, 2024
~ LGE2024 Kigoma: Kamanda wa Polisi apiga kura, asema wananchi waachane na mambo ya kulinda kura, wawaamini mawakala
~ Dar es Salaam: Mgombea wa CHADEMA aliyeuliwa kwa risasi, Kamanda Muliro asema amefariki kutokana na shinikizo la damu!
~ LGE2024 Tanga: Watu wanne wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura
~ LGE2024 Polisi Rukwa: Vijana CCM hawakuwa na nia ya kuchoma nyumba ya Mbunge
~ LGE2024 Kigoma: Vijana wawekwa chini ya ulinzi kwa wizi wa kura baada ya polisi kuingilia kati
~ LGE2024 Songwe: Mwenyekiti CCM achomwa kisu cha utosi, Polisi yawakamata Viongozi wawili CHADEMA
~ LGE2024 Katavi: Mgombea Mpanda adai amepigwa na Diwani, Polisi Kata asema hana uwezo wa kumsaidia
~ LGE2024 Polisi: Aliyekuwa mgombea wa CHADEMA hakutekwa, alijificha ili asigombee nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa
~ LGE2024 ACT Wazalendo: Vyombo vya Dola vilitumika kuweka kura bandia kwenye maboksi ya kura
~ LGE2024 Songwe: Jeshi la Polisi linawashikilia Gidion Siame na Fiston Haonga wa CHADEMA kwa kosa la kujeruhi
~ LGE2024 Tabora: Kada wa CCM ajiua baada ya Kada wa CHADEMA kushinda Uenyekiti wa Kitongoji
~ LGE2024 Zitto: Vyombo vya Ulinzi vikishaonja madaraka ya kisiasa watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe
~ LGE2024 Katavi: Inadaiwa Rhoda Kunchela aitwa polisi kwa mahojiano. SACP Ngonyani asema kama kaitwa aitikie wito na si kukimbilia kwenye mitandao!
~ LGE2024 Kigoma: ACT Wazalendo kufungua kesi kuwashtaki Wasimamizi wa Uchaguzi
~ LGE2024 Singida: Polisi wanamsaka Katibu Mwenezi CCM kwa kumjeruhi Katibu wa CHADEMA kwa kisu
~ Kuelekea 2025 Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
~Mke wa mgombea wa CHADEMA Manyoni : Nilimwambia Polisi naomba usimuue mume wangu lakini alimpiga risasi nne

2025

Karibuni Wakuu.
Du!!!,,,,,ukitaka uishi kwa AFRIKA,URUSI,CHINA,CUBA,KOREA KASKZINI,IRAN,AFGHANSTAN,,,,achana na mambo ya siasa,,,fanya yako,ukiachana na mambo ya siasa ata polisi wakikukuta umlewa na umelala kando ya barabara wanakupa lift,ukiachana na siasa,ata uuze bangi na gongo wanapita kama hawaoni!!!kimsingi ni kwamba ukiamua kuingia kwenye siasa hakikisha hauna familia kwani ukipotezwa familia yako itateseka,,,kuwa bachela afa ishi kama mkimbizi,,,siitetei serikali,,,ila ata mimi juzi kati nipohome nakula zangu walikibua,,,kukukarukia sahani yangu ya msosi na msosi ukamwagika,,,,nilichofanya nilimwacha ule msosi,lakini niliingia ndani,nikachukua manati na kumchapa ya kichwa,akafa palepale!!!!.....achana na misosi yawa2 wewe!!
 
Back
Top Bottom