Uzi maalum wa nukuu mbalimbali kutoka kwenye thread za wana JF

Uzi maalum wa nukuu mbalimbali kutoka kwenye thread za wana JF

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Hapa naweka baadhi, na wewe ni rukhsa kuchangia

Nisaidieni jamani kutatua hili. Hata nguo yake ya ndani pia nisiijue [emoji24][emoji24][emoji24]

Yaani mapenzi ukiyaendekeza unaweza ukakonda kabisa watu wakadhani unaumwa kumbe Ni stress tu za mapenzi

Hivi Kuna raha gani ya wewe kujifanya mtoto wakike?

Wakuu.

Yaani nyie wanaume mimi naona bora naendelee kuishi Maisha niliyochagua. Nawaona mmeamua kuwa pasua vichwa sio msomi, asiye na elimu hadi wa kanisani nao vile vile tu

Yaani Mtu anasema anakupenda Ila no call. text na online unamuona yupo? Nimeamua sitalazimishwa kupendwa na Nitaendelea kuwapanga Hamna namna.

Nktlogistics said:
😂😂😂😂😂
Mama mapenzi yana wenyewe, tulia tu.

Wanawake bwana!!!...kwani ukiwapanga nan atakaeumia kama sio sehemu zako za siri

mapenzi ndio yalivyo hadi upate mtu anayekupenda kwa dhati ni kazi ,wengi wanataka ku hit and run bora uwe single


Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha 😀 Money Penny chizi sana wewe...
Hatari sana... vile unavyojiweka ndivyo utavutia watu wa namna hiyo...


Cc: mahondaw

Nimeweka kambi hapa niendelee kupata maujuzi ya kula nyuchi kihasara hasara[emoji1783]

Unforgetable

Tangu lini fisi akakataa mfupa?

ukiona mwamba unatongozwa ujue kitandan kiuno utakata wewe 🤔
 
Unawezaje ku-attach reply ya uzi mmoja kutoka kwenye uzi Mwingine kama ulivyofanya

I'm on that good kush and alcohol
Nenda kwenye post husika bofya reply, kisha yakitokea maandishi yaliyo kuwa kwenye code za ku-quote wewe copy au cut kisha nenda kapost kwenye uzi mwingine unaotaka.
 
Muite kisha ukae nae mwambie ngoja nikuoneshe kitu flani nahisi kinakuhusu kisha mfungulie hizo picha, kama zake utajua tu.
Baada ya kuziona picha akikuuliza kwanini zinanihusu mwambie utajisikiaje picha kama hizi zikiwa zako na mpenzi wako kaziona?
Je, unahisi huyu mtu anastahili kusamehewa na mpenzi wake?

Nimekufanyia mfano Mkuu [emoji28][emoji28][emoji28] Wabheja Sana
 
Nenda kwenye post husika bofya reply, kisha yakitokea maandishi yaliyo kuwa kwenye code za ku-quote wewe copy au cut kisha nenda kapost kwenye uzi mwingine unaotaka.

Mkuu maneno yako yanatimia kwenye baadhi ya nchi za Afrika sasa hali tete.
Mungu atulinde sisi na familia zetu na viongozi wetu katik nyakati hizi ngumu za uongozi huku kuna kitisho cha adui COVID-19.
 
Corona noma aisee.... Nasikia wametengenezwa na Freemason, Sasa mbona nao wanakufa kwa vidudu walivyotengeneza wao wenyewe?
 
Back
Top Bottom