Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hapa naweka baadhi, na wewe ni rukhsa kuchangia
Nisaidieni jamani kutatua hili. Hata nguo yake ya ndani pia nisiijue [emoji24][emoji24][emoji24]
Yaani mapenzi ukiyaendekeza unaweza ukakonda kabisa watu wakadhani unaumwa kumbe Ni stress tu za mapenzi
Hivi Kuna raha gani ya wewe kujifanya mtoto wakike?
Wakuu.
Yaani nyie wanaume mimi naona bora naendelee kuishi Maisha niliyochagua. Nawaona mmeamua kuwa pasua vichwa sio msomi, asiye na elimu hadi wa kanisani nao vile vile tu
Yaani Mtu anasema anakupenda Ila no call. text na online unamuona yupo? Nimeamua sitalazimishwa kupendwa na Nitaendelea kuwapanga Hamna namna.
Nktlogistics said:😂😂😂😂😂
Mama mapenzi yana wenyewe, tulia tu.
Wanawake bwana!!!...kwani ukiwapanga nan atakaeumia kama sio sehemu zako za siri
mapenzi ndio yalivyo hadi upate mtu anayekupenda kwa dhati ni kazi ,wengi wanataka ku hit and run bora uwe single
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha 😀 Money Penny chizi sana wewe...
Hatari sana... vile unavyojiweka ndivyo utavutia watu wa namna hiyo...
Cc: mahondaw
Tangu lini fisi akakataa mfupa?
ukiona mwamba unatongozwa ujue kitandan kiuno utakata wewe 🤔