Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Nenda kwenye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwenye
Nahisi Kuna baharia amegushi acc yako, bujibuji ni wewe kweli uliyeleta huu uzi?Hapa naweka baadhi, na wewe ni rukhsa kuchangia
Stay home challengeNahisi Kuna baharia amegushi acc yako, bujibuji ni wewe kweli uliyeleta huu uzi?
Hahahaaa I stayed home 😀Stay home challenge
Umeona ehh... Kolohona inapagawishaunazeeka vibaya ujue! ! ![emoji2][emoji2][emoji12][emoji12][emoji12]
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwanaume anayejibiidisha,au anayejisimamia mwenyewe kwa mahitaji na kila kitu, mara nyingi ni ngumu kuachwa hata akiachwa wapo wanawake watakaojileta,kwa sababu wanawake wengi wanataka mteremko
Jana baada ya JPM kumchamba binti wa kigogo sio kigogo 2014, Mwelentuli Malecela ndio kwanza kamuongezea umaarufu huko Twitter.
Kwa siku moja tu ya jana followers wake wameongezeka kutoka 40,000 hadi 52,000.
Ombi langu mh. JPM wewe ni mtu mkubwa acha kupoteza muda kuchambana na wanawake.
Ona sasa umemuongezea umaarufu badala ya kumpunguzia.