Uzi maalum wa nyau wetu majumbani

We jamaa natafuta paka asee naomba basi
 
hivi vipaka navionaga hapo kwa jirani dukani...muda mwingine wikiend anakuwepo yule braza kaka.!

tega nikutegue.utakuwa ndiye
 
asee Mungu ameumba viumbe vingi ila paka kampendelea mno dah! kampa ustaarabu kampa busara, kamfanya kuwa rafiki wa binadamu na kumsabahi pale anapokuwa mpweke. nachopenda kutoka kwa paka ni kile kisauti chake nyororo sura yake na kuomba kukunwa kichwani + mgongoni.
 
ndege John gani marabou stork(leptoptilos crumeniferus) anaefukua jalalani mwenye mikono laini namna hii!?
 
Mkuu, huo mkono wako mbona laini sana hadi unahamasisha...teh!
Samahani kwa kutoka nje ya mada, lakini naomba pia nikupongeze kwa kufuga paka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Raha ya paka ahasiwe(kama nimeiandika sawa) atakua vizur sana bila shida za hapa na pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…