[emoji23][emoji23]kwahiyo unatuambia mama yao ni single mother ili tufanyeje?Jamani Nina vipaka vitano anayevitaka aseme.
Mama yao ni singo maza.
Tatizo kazidi umalaya
kama nawe uoa dume lipo tuwaweke wafanye kolabo ili singo maza wangu atulie maana kazidi umalaya na ana mimba tena![emoji23][emoji23]kwahiyo unatuambia mama yao ni single mother ili tufanyeje?
dawa yake mfunge uzazi apunguze kiherehere.Jamani Nina vipaka vitano anayevitaka aseme.
Mama yao ni singo maza.
Tatizo kazidi umalaya
.dawa yake mfunge uzazi apunguze kiherehere.
unampeleka kituo cha afya cha wanyama au kama kuna daktari unayemfahamu wa wanyama jaribu kumpelekea..
kumbe! namfungaje sasa?
Paka ni mpuuuzi sana anadeka sana yani anataka kudeka kuliko hata watoto wa mwenye nyumba.. Yani yanajifanyaga kama ndo malkia wa nyumba ..ustaarabu kiasi ni kwamba hafanyi mapenz hadharani na ni msafi.asee Mungu ameumba viumbe vingi ila paka kampendelea mno dah! kampa ustaarabu kampa busara, kamfanya kuwa rafiki wa binadamu na kumsabahi pale anapokuwa mpweke. nachopenda kutoka kwa paka ni kile kisauti chake nyororo sura yake na kuomba kukunwa kichwani + mgongoni.
Na mimi nampenda sana pakaasee Mungu ameumba viumbe vingi ila paka kampendelea mno dah! kampa ustaarabu kampa busara, kamfanya kuwa rafiki wa binadamu na kumsabahi pale anapokuwa mpweke. nachopenda kutoka kwa paka ni kile kisauti chake nyororo sura yake na kuomba kukunwa kichwani + mgongoni.
ha ha ha yaan mambo za kuzaa hapa ndio wananichoshaga mieJamani Nina vipaka vitano anayevitaka aseme.
Mama yao ni singo maza.
Tatizo kazidi umalaya
na saivi ana mimba tena!ha ha ha yaan mambo za kuzaa hapa ndio wananichoshaga mie
Kuendana na wanasayansi wanasema paka sio mstaarabu, hapendi wala hana mapenzi na binadam ila anapenda umpe msosi kila anapohitaji, mapenzi yake ni katika service, sio mapenzi km ya mbwa anapomkimbilia mwenyeji wake, paka ukimwita kumsabahi bila kumdanganyia na promise ya msosi wala haji na hashtukiasee Mungu ameumba viumbe vingi ila paka kampendelea mno dah! kampa ustaarabu kampa busara, kamfanya kuwa rafiki wa binadamu na kumsabahi pale anapokuwa mpweke. nachopenda kutoka kwa paka ni kile kisauti chake nyororo sura yake na kuomba kukunwa kichwani + mgongoni.
Kuendana na wanasayansi wanasema paka sio mstaarabu, hapendi wala hana mapenzi na binadam ila anapenda umpe msosi kila anapohitaji, mapenzi yake ni katika service, sio mapenzi km ya mbwa anapomkimbilia mwenyeji wake, paka ukimwita kumsabahi bila kumdanganyia na promise ya msosi wala haji na hashtuki
Ushaona wapi paka akafundishwa akafundishika, ila mbwa wanafundishika, paka anakupenda km unampa msosi tu angalia katika familia kuna mmoja tu ambaye ndiye anayependwa na paka, na sababu ya kupendwa sio kwa kumshika shika na kumpeti, bali anayempa msosi kila mara ndio rafiki ake, wengine hata haangaiki nao anapiga mbonji tuhuo utafiti ume-base kwenye baadhi ya paka/breeds sio paka wote wako hivyo. zipo videos youtube zinaonyesha wanajeshi wakirudi home baada ya miezi miaka kadhaa kutoka jeshini na wakifika nyumbani paka wanaonekana kuwakimbilia na kuwarukia kuwaonyesha kuwa wanawakumbuka na bado wanawapenda. Hiko ni kiashiria tosha kuwa paka wana mapenzi na binadamu kuliko unavyodhani. Kumbuka paka wako breeds tofauti. hivi paka unaweza kumlinganisha na mbwa kwa ustaarabu? kitendo cha kutafuta sehemu ya kunya kisha kufukia kinyesi chake ni kielelezo tosha kuwa paka wako smart na ni wastaarabu.
inatakiwa mumuwekee beseni lake la mchanga n.a. muwe mnabadirisha mchanga hawapendi uchafu.Paka wetu ana miaka km 9 hv anaelekea 10 ila dah mzushi kichizi anakunya kwenye korido hadi unatamani kumpiga shuti kali sanaaaa
Ushaona wapi paka akafundishwa akafundishika, ila mbwa wanafundishika, paka anakupenda km unampa msosi tu angalia katika familia kuna mmoja tu ambaye ndiye anayependwa na paka, na sababu ya kupendwa sio kwa kumshika shika na kumpeti, bali anayempa msosi kila mara ndio rafiki ake, wengine hata haangaiki nao anapiga mbonji tu