Uzi maalum wa nyau wetu majumbani

Uzi maalum wa nyau wetu majumbani

.
kumbe! namfungaje sasa?
unampeleka kituo cha afya cha wanyama au kama kuna daktari unayemfahamu wa wanyama jaribu kumpelekea.
miaka ya karibuni tulikuwa na paka alikuwa anazaa kuliko msimu wa maembe (hapumziki).
tukamfunga uzazi lakini alirudi na spidi ya kula sana na kuiba 😛 😛 😛
 
asee Mungu ameumba viumbe vingi ila paka kampendelea mno dah! kampa ustaarabu kampa busara, kamfanya kuwa rafiki wa binadamu na kumsabahi pale anapokuwa mpweke. nachopenda kutoka kwa paka ni kile kisauti chake nyororo sura yake na kuomba kukunwa kichwani + mgongoni.
Paka ni mpuuuzi sana anadeka sana yani anataka kudeka kuliko hata watoto wa mwenye nyumba.. Yani yanajifanyaga kama ndo malkia wa nyumba ..ustaarabu kiasi ni kwamba hafanyi mapenz hadharani na ni msafi.
 
asee Mungu ameumba viumbe vingi ila paka kampendelea mno dah! kampa ustaarabu kampa busara, kamfanya kuwa rafiki wa binadamu na kumsabahi pale anapokuwa mpweke. nachopenda kutoka kwa paka ni kile kisauti chake nyororo sura yake na kuomba kukunwa kichwani + mgongoni.
Na mimi nampenda sana paka
 
Kuendana na wanasayansi wanasema paka sio mstaarabu, hapendi wala hana mapenzi na binadam ila anapenda umpe msosi kila anapohitaji, mapenzi yake ni katika service, sio mapenzi km ya mbwa anapomkimbilia mwenyeji wake, paka ukimwita kumsabahi bila kumdanganyia na promise ya msosi wala haji na hashtuki
 
huo utafiti ume-base kwenye baadhi ya paka/breeds sio paka wote wako hivyo. zipo videos youtube zinaonyesha wanajeshi wakirudi home baada ya miezi miaka kadhaa kutoka jeshini na wakifika nyumbani paka wanaonekana kuwakimbilia na kuwarukia kuwaonyesha kuwa wanawakumbuka na bado wanawapenda. Hiko ni kiashiria tosha kuwa paka wana mapenzi na binadamu kuliko unavyodhani. Kumbuka paka wako breeds tofauti. hivi paka unaweza kumlinganisha na mbwa kwa ustaarabu? kitendo cha kutafuta sehemu ya kunya kisha kufukia kinyesi chake ni kielelezo tosha kuwa paka wako smart na ni wastaarabu.
 
Ushaona wapi paka akafundishwa akafundishika, ila mbwa wanafundishika, paka anakupenda km unampa msosi tu angalia katika familia kuna mmoja tu ambaye ndiye anayependwa na paka, na sababu ya kupendwa sio kwa kumshika shika na kumpeti, bali anayempa msosi kila mara ndio rafiki ake, wengine hata haangaiki nao anapiga mbonji tu
 
Na pia kutafuta kunya na kufukia ni tabia yao, maana mbwa wa ndani anafundishwa akitaka kunya anafanyaje anafunguliwa mlango anaenda nje, paka akiamua kuweka kwenye gunia, kochi, kabatini ni uamuzi wake
 
wangu huyu anaitwa jaguar anapenda raha huyo
20190522_161031.jpg
 
Paka wetu ana miaka km 9 hv anaelekea 10 ila dah mzushi kichizi anakunya kwenye korido hadi unatamani kumpiga shuti kali sanaaaa
inatakiwa mumuwekee beseni lake la mchanga n.a. muwe mnabadirisha mchanga hawapendi uchafu.
 
Ushaona wapi paka akafundishwa akafundishika, ila mbwa wanafundishika, paka anakupenda km unampa msosi tu angalia katika familia kuna mmoja tu ambaye ndiye anayependwa na paka, na sababu ya kupendwa sio kwa kumshika shika na kumpeti, bali anayempa msosi kila mara ndio rafiki ake, wengine hata haangaiki nao anapiga mbonji tu

Paka wanafundishika sana mkuu ingia youtube zipo video kibao paka wanafundishwa jinsi ya kutumia choo cha kukaa ili kukidhi haja zao na wanaelewa na inakua ndo sehemu ya maisha yao kila siku anaposikia kutoa haja anaenda chooni anaflash kisha anasepa.Uwezo wao kwenye kuelewa mambo kwa haraka uko tofauti na wanyama wengine kama mbwa ila paka unaweza kumfundisha kwa vitendo na akakuelewa. kuhusu chakula ndivyo walivyoumbwa sasa unataka ashinde njaa masaa matano kwa tumbo lile si unataka ashinde mitaani sasa awe shume? hiyo ni nature yao kila baada ya muda fulani wanahitaji kula, mfumo wao wa chakula uko tofauti na wengine elewa hivyo mkuu.
 
Back
Top Bottom