Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Wala siwaelewi, japo nafuga paka na ninaye mkongwe na anajua akiskia sauti ya mfuko anajua ni menyu time, ila sio km ananipenda lah hasha anapenda chake kiwepo, na bado nasimamia palepale paka hafundishiki, nimekaa naye miaka 9 haelewi kitu. He is just brokenPaka wanafundishika sana mkuu ingia youtube zipo video kibao paka wanafundishwa jinsi ya kutumia choo cha kukaa ili kukidhi haja zao na wanaelewa na inakua ndo sehemu ya maisha yao kila siku anaposikia kutoa haja anaenda chooni anaflash kisha anasepa.Uwezo wao kwenye kuelewa mambo kwa haraka uko tofauti na wanyama wengine kama mbwa ila paka unaweza kumfundisha kwa vitendo na akakuelewa. kuhusu chakula ndivyo walivyoumbwa sasa unataka ashinde njaa masaa matano kwa tumbo lile si unataka ashinde mitaani sasa awe shume? hiyo ni nature yao kila baada ya muda fulani wanahitaji kula, mfumo wao wa chakula uko tofauti na wengine elewa hivyo mkuu.