Uzi maalum wa orodha ya vyoo visafi na bureeeee kabisa jijini

Uzi maalum wa orodha ya vyoo visafi na bureeeee kabisa jijini

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Naanza na swali,jamani hivi ni halali kulipia huduma ya chakula halafu tena ulipie huduma ya choo? For me this is a big no,ok assume umeamua kujitoa akili ukalipia choo halafu bado unakuta kichafu, halafu kwanini ulipie wakati kuna huduma bora hapa mjini za bure,yaani ni sawa na kutaka kwenda Mwanza na basi la Najmunisa huku linavuja na ulipe elfu 50 wakati FastJet wanatoa ofa ya kusafirisha watu bure, hii ni kwa ajili yetu watu tunaopenda huduma nzuri za kiwango japo huwa tunapata wakati mgumu kulipia,leo nitaanza na vitatu huku wadau mtajazia na nyinyi mnavyovijua
1.MLIMANI CITY
Ni moja ya vyoo bora kabisa vya bure hapa jijini,wanasafisha kila baada ya sekunde 30,pia kuna TP,maji safi na salama pia wana mashine ndogo ya kupuliza upepo mikono hlf jamaa wanaofanya usafi ni wakarimu sana,naomba uongozi wa Mlimani city waweke kibox kidogo cha tips.
2.MKUKI MALL
Aisee hawa jamaa vyoo vyao viko
njema pia kuna marashi fulani amaziiing wanaweka yananukia vizuri balaa.Kitu kingine nachokipenda hapa ni moja ya sehem chache nchini unapoweza kwenda chooni kwa escalator
3.MKUU EBU TUPIA NA WEWE MBILI TATU NA MAENEO VINAPOPATIKANA,BILA KUSAHAU SPECIAL FEATURES ZA CHOO HUSIKA.
 
hahaah....nasbir nione choo changu kikitajwa hapo mkuu.
 
0712 ni vyoo safi sana maeneo mengi ndani ya dar kwa makonda
 
Back
Top Bottom