Uzi Maalum wa Taarifa na Ushauri wa Kimapenzi kwa WanaJF wa 2125 (Miaka 100) Kutoka Sasa

Uzi Maalum wa Taarifa na Ushauri wa Kimapenzi kwa WanaJF wa 2125 (Miaka 100) Kutoka Sasa

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Naamini hili jukwaa a JF litadumu sana!

Naamini miaka mia mbele, Bado Mapenzi yataendelea kuwasumbua watu kama ilivyo Sasa kama ni hivyo, hebu tuwashauri na kuwapa taarifa mbalimbali vitukuu vyetu hivyo vijavyo zilizotokea Hadi kufikia 2025 Ili wafanye rejea na kuwapa uwanja wa kujifunza na kuendelea na maisha. Wajue kwamba;

1. Kulikuwa na style inaitwa "Msomali kafia kwenye fiat", inasemekana ilibuniwa na mwanaJF mwenzetu.

Karibuni..
 
Lumumba kimejaa Mizoga.
Nchimbi ( The Weekend ) ana kazi nzito Sana.
 
Sisi ndio tulipambana Tanzania bara ikaitwa Kizimkazi, Kigoma ikaitwa nchi huru ya Tanganyika
 
Back
Top Bottom