Rweyemam105
Senior Member
- Sep 8, 2012
- 105
- 154
Hallo. Hbr wana JF.
Natumaini kila mtu atakuwa ashasikia kuhusu CLOUD SERVER, kama vile DropBox, Google cloud etc. Hizi huduma huwa zinapatikana kwa mothly rental fee au bure kwa limited access. Mfano Dropbox wanakupa only 2GB, huku Google wakikupa bure 15GB ya kuhifadhia data zako.
Huduma hizi ni nzuri ila ziko na hasara yake pia. Moja ya hasara ni, unakuwa exposed na taarifa zako online. Pia baadhi ya hizi kampuni huuza taafifa za wateja wao bila ya wao kujua.
Binadam huwa ni wavumbuzi kila kukicha. Baada ya hayo mapungufu ya Cloud data Storage, wana-technolojia wakagundua Personal Home Data storage, wakaipa Jina kwa Kifupu HomeLab Server au NAS-Network attached Storage.
Teknolojia hii inakusaidia ktk utunzaji wa Data zako mwenyewe huku ukiziwekea ulinzi wa kutosha na pale unapotaka kuzitumia, unaweza kuzi access popote pale dunia ulipo.
Haya ni Machache kuhusu mambo ya HOMELAB AU NAS-SERVERS.
najua watakuja wabobevu wa network hapa watakuja kuongezea nyama, especoally kwenye upande wa Software na Apps muhimu ambazo unaweza ukawa unatumia via hizi Homelab au Nas SERVERS.
Binafsi natumia Ugreen Nas DXP4800 4-Bay AMBAYO inanipa hadi uwezo wa Storage 112TB ila kwa sasa nimeweka 4x 8TB HDD plus 2x M.2 NVME SSD.
Kwa Upande wa Apps nnazo tumia ni Nexcloud, Photoprism, Jellyfin for streaming Movies, Pi hole, Vms, watch tower. Etc
Kwa wale ambao wako na kazi za Video editing, hupaswi kukosa kuwa na NAS.
Ukitaka ya 2Bay, nione.