Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Aug 18, 2021 #1 Haya wana jamvi mara baada ya wakulungwa wa taliban kutuchukua nchi sasa embu tupate kuwatambua viongozi wateule wa taifa hilo [emoji4] [emoji1023]
Haya wana jamvi mara baada ya wakulungwa wa taliban kutuchukua nchi sasa embu tupate kuwatambua viongozi wateule wa taifa hilo [emoji4] [emoji1023]
K KISIWAGA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 8,022 Reaction score 16,563 Aug 18, 2021 #2 Freeman Aikael Mbowe Donald Trump& Edger Lungu
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Aug 18, 2021 Thread starter #3 Balaza la juu la viongozi hawa ndio watateua viongozi wote wa kuunda serikali hiyo
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Aug 18, 2021 Thread starter #4 Kwanza kabla hujapewa teuzi lazima uwe umenyoa vizuri ndevu zako hapa tunaona baadhi ya watakaokuwa wateule wakiwekwa vizuri soon tutapata kuona teuzi. Kuazia baraza la mawaziri.
Kwanza kabla hujapewa teuzi lazima uwe umenyoa vizuri ndevu zako hapa tunaona baadhi ya watakaokuwa wateule wakiwekwa vizuri soon tutapata kuona teuzi. Kuazia baraza la mawaziri.
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Aug 18, 2021 Thread starter #5 Alhaj yatumrah: (vazi jeusi) waziri wa mambo ya ndani Afghanistan.
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Aug 18, 2021 Thread starter #6 Yashyahub yakhsin🙁kijivu mbele) waziri wa mambo ya nje.
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Aug 18, 2021 Thread starter #7 Yahyah, sumaeel, abrahim : sipika wa bunge, naibu, na mwenyekiti wa bunge.
secret file JF-Expert Member Joined Sep 10, 2019 Posts 5,843 Reaction score 8,637 Aug 18, 2021 #8 Hv hawa jaamaa hawawezi kugeukana!?
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Aug 18, 2021 Thread starter #9 Asabul:Mwenye (kilemba cheupe) waziri wa tamisemi
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Aug 18, 2021 Thread starter #10 Isha khamees: waziri wa naendeleo ya wanawake jinsia na watoto
0ozg Tz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 4,155 Reaction score 11,168 Aug 18, 2021 #11 W secret file said: Hv hawa jaamaa hawawezi kugeukana!? Click to expand... Wanaweza tena sana
SirAlfred006 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2020 Posts 517 Reaction score 1,243 Aug 18, 2021 #12 Baraza la mawaziri
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Aug 18, 2021 Thread starter #13 Yesufal makhalif: waziri wa michezo
KateMiddleton JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 3,883 Reaction score 4,676 Aug 18, 2021 #14 Takbiiiiirrrr
0ozg Tz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 4,155 Reaction score 11,168 Aug 18, 2021 #15 Sheria za nchi hyo atakaeweza kuzifata basi mbinguni unaenda,naamin hata wao wanaozitaka hawawez kuzitekeleza zote kwenye maisha yao yote
Sheria za nchi hyo atakaeweza kuzifata basi mbinguni unaenda,naamin hata wao wanaozitaka hawawez kuzitekeleza zote kwenye maisha yao yote
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Aug 18, 2021 Thread starter #16 Zege halilali haya haya waziri wa biashara na uchumi.
SirAlfred006 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2020 Posts 517 Reaction score 1,243 Aug 18, 2021 #17 Afghan weather forecast tv presenter. " Ni Allah pekee yake ajuaye hali ya hewa hapo kesho...!"
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,094 Reaction score 37,314 Aug 18, 2021 #18 Bilaliii Masudii Khalifa mjumbe wa nyumba kumi
SirAlfred006 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2020 Posts 517 Reaction score 1,243 Aug 18, 2021 #19 Mkuu wa Wilaya ya Zakarath, Afghanistan
Bani Israel JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 1,775 Reaction score 3,593 Aug 18, 2021 Thread starter #20 [emoji16]