Uzi maalum wa teuzi za huko Afghanistan

Uzi maalum wa teuzi za huko Afghanistan

Balaza la juu la viongozi hawa ndio watateua viongozi wote wa kuunda serikali hiyo
800.jpeg
 
Kwanza kabla hujapewa teuzi lazima uwe umenyoa vizuri ndevu zako hapa tunaona baadhi ya watakaokuwa wateule wakiwekwa vizuri soon tutapata kuona teuzi. Kuazia baraza la mawaziri.
images(20).jpeg
 
Alhaj yatumrah: (vazi jeusi) waziri wa mambo ya ndani Afghanistan.
images(17).jpeg
 
Yashyahub yakhsin🙁kijivu mbele) waziri wa mambo ya nje.
images(18).jpeg
 
Yahyah, sumaeel, abrahim : sipika wa bunge, naibu, na mwenyekiti wa bunge.
images(19).jpeg
 
Asabul:Mwenye (kilemba cheupe) waziri wa tamisemi
images(21).jpeg
 
  • Kicheko
Reactions: tyc
Isha khamees: waziri wa naendeleo ya wanawake jinsia na watoto
images(16).jpeg
 
Sheria za nchi hyo atakaeweza kuzifata basi mbinguni unaenda,naamin hata wao wanaozitaka hawawez kuzitekeleza zote kwenye maisha yao yote
 
Zege halilali haya haya waziri wa biashara na uchumi.
images(14).jpeg
 
Back
Top Bottom