Pole sana mkuu wangu kwa changamoto unayopitia, na ni jambo la ujasiri mkubwa kujitokeza na kueleza ukweli wa kile unachokihisi.Jamani mim nimewah kuoa na nikapata mtoto mmoja sasa kitu kinachoitwa punyeto (since 2011-2025 kimeniathili kias kwamb nimebakiwa na kipini.) Kweny ndoa ukiniuliza sabab ya kuachana na mwenza siijui ilikua gafla bini vuuu!! TUACHANE. baada ya hapo saivi napatwa na hisia kali mpaka naota ujinga. msaada kama nawez kupat daw ya kuzuwia hamu ya ngono uume usisimame angalau miaka mitatu
Ndio maana siku hizi kuna viceversa kwenye mapenzi hasa kipengele cha ngono😀umenena mzee
✍️✍️Sio wote wanahitaji pesa tu, kuna wengine neno lako moja tu linamuokoa nafsi yake!
Absolutely!! Tunapitia vingi sis vijana..Ndio maana siku hizi kuna viceversa kwenye mapenzi hasa kipengele cha ngono
Watu wazima tayari wana uzoefu hivyo wanatafuta vibinti wavioneshe ufundi wao
Vijana wa kiume nao wanatafuta kina mama wazoefu kwa ajili ya kitandani na assist ya maisha
Mwanzoni Ila sasa naona tuu ni sawa japo nilijua ni kulogwa lkn maombi sijaona kitu, au vilingen pengine ni mifumo ya kimaisha ipo hivyoHaikuumizi moyoni?
Ujumbe maridhawa sana huu na hivi vichujio vinaharibu sana watu hasa Wasichana kutana naye live basi aisee 😅Hii ni reply yangu nje ya JF Ila mhusika ameniomba niiweke huku bila kumtaja ID yake
Kwanza kabisa, nataka ujue kuwa hisia unazopitia ni za kibinadamu kabisa na huko upo peke yako katika mapambano haya.
Vijana wengi sana duniani kote wanapitia changamoto kama yako kila siku, hata wale unaowaona kwenye mitandao ya kijamii wakionekana wamekamilika.
Ni muhimu kutambua kuwa picha nyingi unazoziona mtandaoni zimehaririwa kwa vichujio (filters), hivyo kulinganisha maisha yako ya kawaida na picha hizo ni kujiumiza bure.
Mwili wako una mambo mengi ya ajabu na mazuri yanayofanya kazi kila sekunde, na unapaswa kuushukuru kwa kukuweka hai. Badala ya kuweka akili yako yote kwenye kile unachodhani ni kasoro, geuza mtazamo wako na uangalie uwezo mkubwa ulionao.
Mwili wako unakuwezesha kutembea, kufikiri, kufanya kazi, na kufurahia maisha, jambo ambalo ni baraka kubwa sana inayopaswa kupongezwa.Kumbuka kuwa kile unachokiona kama upungufu ndicho kinachokufanya uwe mtu wa kipekee sana duniani.
Hakuna mwanadamu yeyote aliyewahi kuumbwa akiwa mkamilifu kwa asilimia mia moja, na tofauti zetu ndizo zinazoleta uzuri wa ubinadamu.
Mara nyingi, sifa hiyo unayoiona kama kikwazo inaweza kuwa ndiyo alama yako ya pekee inayokutofautisha na kukutambulisha vizuri mbele ya jamii.
Ili kujenga ujasiri wako, unapaswa kujifunza kujipenda na kujikubali jinsi ulivyo bila kusubiri sifa au kibali kutoka kwa watu wengine.
Anza kujitazama kwenye kioo na kujisemea maneno ya ushindi, huku ukichagua mavazi na mitindo inayokufanya ujisikie vizuri na salama.
Thamani yako halisi haitokani na muonekano wako wa nje tu, bali inatokana na tabia yako, akili yako, na utu wako wa ndani.Mwisho, usikae na mzigo huu mkubwa moyoni mwako peke yako kwani kuficha hisia hizi huongeza maumivu makali.
Tafuta mtu mmoja unayemwamini sana, awe mzazi, ndugu, au rafiki wa karibu, na ufungue moyo wako kwake ili upate faraja. Kushirikisha wengine changamoto yako kutakusaidia kuona kuwa tatizo hilo ni dogo kuliko unavyolikuza akilini mwako, na utapata nguvu mpya ya kusonga mbele.
Comment hii imenikumbusha kisa cha dada mmoja ambaye alikuwa hajikubali kwa kuwa na watoto weusi,kisa eti mashosti zake wanapost mitandaoni watoto wao weupeHii ni reply yangu nje ya JF Ila mhusika ameniomba niiweke huku bila kumtaja ID yake
Kwanza kabisa, nataka ujue kuwa hisia unazopitia ni za kibinadamu kabisa na huko upo peke yako katika mapambano haya.
Vijana wengi sana duniani kote wanapitia changamoto kama yako kila siku, hata wale unaowaona kwenye mitandao ya kijamii wakionekana wamekamilika.
Ni muhimu kutambua kuwa picha nyingi unazoziona mtandaoni zimehaririwa kwa vichujio (filters), hivyo kulinganisha maisha yako ya kawaida na picha hizo ni kujiumiza bure.
Mwili wako una mambo mengi ya ajabu na mazuri yanayofanya kazi kila sekunde, na unapaswa kuushukuru kwa kukuweka hai. Badala ya kuweka akili yako yote kwenye kile unachodhani ni kasoro, geuza mtazamo wako na uangalie uwezo mkubwa ulionao.
Mwili wako unakuwezesha kutembea, kufikiri, kufanya kazi, na kufurahia maisha, jambo ambalo ni baraka kubwa sana inayopaswa kupongezwa.Kumbuka kuwa kile unachokiona kama upungufu ndicho kinachokufanya uwe mtu wa kipekee sana duniani.
Hakuna mwanadamu yeyote aliyewahi kuumbwa akiwa mkamilifu kwa asilimia mia moja, na tofauti zetu ndizo zinazoleta uzuri wa ubinadamu.
Mara nyingi, sifa hiyo unayoiona kama kikwazo inaweza kuwa ndiyo alama yako ya pekee inayokutofautisha na kukutambulisha vizuri mbele ya jamii.
Ili kujenga ujasiri wako, unapaswa kujifunza kujipenda na kujikubali jinsi ulivyo bila kusubiri sifa au kibali kutoka kwa watu wengine.
Anza kujitazama kwenye kioo na kujisemea maneno ya ushindi, huku ukichagua mavazi na mitindo inayokufanya ujisikie vizuri na salama.
Thamani yako halisi haitokani na muonekano wako wa nje tu, bali inatokana na tabia yako, akili yako, na utu wako wa ndani.Mwisho, usikae na mzigo huu mkubwa moyoni mwako peke yako kwani kuficha hisia hizi huongeza maumivu makali.
Tafuta mtu mmoja unayemwamini sana, awe mzazi, ndugu, au rafiki wa karibu, na ufungue moyo wako kwake ili upate faraja. Kushirikisha wengine changamoto yako kutakusaidia kuona kuwa tatizo hilo ni dogo kuliko unavyolikuza akilini mwako, na utapata nguvu mpya ya kusonga mbele.
Ilifikia kipindi akawa na mawazo ya kutaka kuwaua wanawe ili tu aanze upya kwa kuzaa na mwanaume mwengine,kwake yeye mwanaume wa mwanzo hakuwa wa kuvutia ndio maana hata watoto wale wamekuwa weusi.🥺🥺🥺Comment hii imenikumbusha kisa cha dada mmoja ambaye alikuwa hajikubali kwa kuwa na watoto weusi,kisa eti mashosti zake wanapost mitandaoni watoto wao weupe
Ilifikia kipindi akawa na mawazo ya kutaka kuwaua wanawe ili tu aanze upya kwa kuzaa na mwanaume mwengine,kwake yeye mwanaume wa mwanzo hakuwa wa kuvutia ndio maana hata watoto wale wamekuwa weusi.
Sasa ukija kuangalia uhalisia ni kwamba watato wake siku zote hawakuwa wabaya mpaka alipoanza kuona watoto wa marafiki zake wanapostiwa kwenye mitandao na kupata likes nyingi,na yeye akituma picha za wanawe hapati mrejesho mzuri.
Sasa haya ni maradhi ya kutaka kujifananisha na watu wengine,ni maradhi ya kutaka kufananisha watoto wako na watoto wengine kitu ambacho sio sahihi. Ifike kipindi turidhike kwa jinsi tulivyoumbwa, kila mtu ni special kwa namna yake,upekee wetu ndio ukamilifu wetu.
Katu usitake kuwa mtu mwingine kwasababu ambayo unayaona Mazur kwa nje huenda kwa ndani ni mtihani mkubwa sana,kwahiyo tambua kwamba wewe ni mkamilifu na mzuri kwa namna yako,tofauti zetu za kifedha,kimuonekano,kifikra ndio hutufanya tuwe unique kama wanadamu,Mshana Jr hawezi kuwa Ertugrul bey na kinyume chake,kwahiyo tuwe proud kwa jinsi tulivyo kwani huo ndio uhalisia na ndio ubinadamu wetu
Binti seran narejea nikiwa na uchungu mkuubwa.Na rudi afya ya akili subrrrra
Uhusiano wa kimapenzi una nguvu kubwa sana kwenye maisha yetu.Binti seran narejea nikiwa na uchungu mkuubwa.
Maisha yoyote ya mwanadamu kufanikiwa ni kuwa na fikra chanya yaan akili tulivu kabisa haswa kwa vijana ambao bado akili zao ziko katika kutizama ulimwengu umeonyesha nn nawao watumie akili hio kufanya jambo lisaidie jamii na kujipatia kipato ila kwa asilimia kubwa watu ambao ndio wangeweza kufanya hayo yote wanakumbwa na hii changamoto ya
afya ya akili .
tuzungumze chanzo kimoja wapo ambacho mm nakiona kama kinaathiri sana afya ya akili kwa vijana sasa MAHUSIANO
Hii sio kwa jinsia ya kike wala kiume pekee ila kote inaathiri ,kuna namna Flan mtu anajiwekeza kuja kutimiza lengo lake na mtu flani kisha aliyeweka nae imani anafanya usaliti unao Acha kovu kwake na mwishowe huyu mtu anapata changamoto ya afya ya akili
Katika akili yake kunajengeka kitu kama hiki
("Wote ni sawa") tayari huyu mtu anakuwa ameathirika sana na hii hali kuiondoa inachukua muda sana .
Tunaishi nao watu kama hawa katika mazingira yetu tunawaona tunahitaji kuokooa jamii wakuu nimelog off wengine tuongeze nyama
Funguka mkuu, usiruhusu kukaa na kitu kinachokutafuna!Mwanzoni Ila sasa naona tuu ni sawa japo nilijua ni kulogwa lkn maombi sijaona kitu, au vilingen pengine ni mifumo ya kimaisha ipo hivyo