Uzi maalum wa ushauri kwa vijana

Kama huu mwandiko🤔

Anyways pongezi sana, ushauri mzuri!
 
Kwenye wenye hela lakini hawajui wafanyeje na wanatafuta ushauri kwa gharama kubwa
huyo ana hela au ana madafu hahahhaa mwenye hela anatakiwa ale totoz tuu.

ukiondoa matatizo ya afya, tatizo kuu duniani ni kukosa pesa lakini ukiwa na pesa 99 percent of problems are solved, the other 1 percent are self inflicted. ata mambo ya afya mengi tunayatafuta wenyewe kwa mtindo maisha usio faaa.
 
Ndugu Mshana Jr nimeshindwa kureply moja kwa moja kwenye comment kwakua ninatumia simu ya batani
1. kunapopambazuka uume unasimama vizuri lakin ni dakik kama 2 tu.
2. swala langu la kutengana na mwenza, mastrubation ya mda mrefu, maumbile kua madogo kupitiliza niliwasiliana na 199 nikambiw niend hospital. nilibahatika kwenda nilichopewa ni vidonge ambavyo kila nikimeza napatwa na wazimu uume ulikua unakaza kwa zaid ya dakik 30. juzi tu nimekutana na mashahidi wa yehova nikaona niungane nao
 
Hakuna msiba mkubwa duniani kama kuwa na hela lakini mtarimbo umelala doro😭😭😭
 
Ulichopewa ni viagra na hao mashahidi watakupa matumaini hewa

Njia Salama za Kuboresha Utendaji na Muonekano ni hizi hapa

Kama unataka kuimarisha afya yako ya uzazi au kuboresha muonekano wa maumbile yako, madaktari wanashauri kufanya mabadiliko kadhaa ya kiasili katika mfumo wako wa maisha:

1. Kudhibiti Uzito:
Kupunguza mafuta yaliyozidi kwenye tumbo kunapunguza mafuta yaliyo chini ya kitovu. Hii inafanya uume uonekane mrefu zaidi kwa nje bila kubadilisha umbo lake halisi.

2.Mazoezi ya Kawaida:
Mazoezi ya kuchangamsha moyo kama vile kukimbia, kuogelea, au kuendesha baiskeli yanaboresha mzunguko wa damu.
Mzunguko mzuri wa damu unasaidia uume kusimama kwa uimara wa hali ya juu.

3.Mazoezi ya Kegel:
Kuzuia na kushikilia misuli unayotumia kuzuia mkojo kunaimarisha misuli ya nyonga. Ingawa hakutabadilisha ukubwa wako halisi, kunaweza kuongeza uimara na uwezo wa kudhibiti uume wakati wa tendo.

4.Mlo Kamili:
Kula vyakula vyenye virutubisho vinavyosaidia uzalishaji wa kemikali ya nitric oxide—kama vile mchicha, bitiruti (beets), na kitunguu saumu—kunasaidia kutanua mishipa ya damu na kuimarisha uwezo wa kushiriki tendo.

5. Usafi wa Maumbile:
Kunyoa au kupunguza nywele za siri ni njia rahisi na isiyo na madhara inayofanya eneo hilo lionekane kubwa zaidi kwa macho.
 
kibamia kifanye kazi aiseee maaana ndio raha ya dunia
😂😂😂😂
Dhana ya "kibamia" ni msemo wa mtaani wenye kumaanisha uume mdogo usiofikia wastani wa kawaida wa mwanaume mzima.
Jina hili linalotokana na umbo fupi la mboga ya bamila.
Kitabibu, kuna upotoshaji mkubwa hapa kwani wastani wa uume wa mwanaume mzima ukiwa umesimama ni kati ya inchi 4.7 hadi 5.5. Hali halisi ya uume mdogo uliopitiliza (micropenis) ni nadra sana na inahusisha uume ulio chini ya inchi 2.8, jambo ambalo linasababishwa na matatizo ya homoni na linahitaji matibabu ya daktari badala ya mitishamba ya mtaani.

Wanaume wengi wanaodhani wana "kibamia" kiuhalisia wana maumbile ya kawaida kabisa, lakini wanajiona wadogo kutokana na sababu za kisaikolojia na kimwili.

Kuangalia filamu za ngono zinazotumia waigizaji wenye maumbile makubwa yasiyo ya kawaida hutengeneza viwango vya uongo vinavyoumiza wanaume kisaikolojia.

Pia, kuwa na kitambi au mafuta mengi chini ya tumbo hufunika shina la uume na kuufanya uonekane mfupi,..
... huku kuangalia maumbile yako mwenyewe ukitokea juu kukupa picha ya urefu mfupi kuliko ulivyo halisi.
Msemo huu umekuwa ukitumika kama dhihaka au utani kwenye jamii na mitandao, jambo linalosababisha wanaume kupoteza kujiamini na kupata wasiwasi mkubwa wanapofanya tendo la ndoa.

Hofu hii inawafanya wanaume wengi kuwa wahanga wa matapeli wanaouza dawa au mafuta ya uongo ya kurefusha maumbile, ambayo yanaweza kuharibu mishipa ya damu na kusababisha tatizo la kudumu la kushindwa kusimamisha.

Hata hivyo, tafiti za kitabibu zinaonesha wazi kuwa urefu wa uume sio kigezo kikuu cha kumridhisha mwanamke. .
Sehemu kubwa ya mishipa ya hisia ya mwanamke ipo karibu sana na nje ya uke (ndani ya inchi 1 hadi 2 tu).
Hii ina maana kwamba maandalizi ya kutosha kabla ya tendo, mbinu bora za ushiriki, na mawasiliano mazuri kati ya wenza ndivyo vinavyojenga uhusiano mzuri wa kimwili, na sio ukubwa wa maumbile.
 
Kwa tatizo la mastrubation isikupe changamoto kuna namna watu wanatoka huko kuna Mr mmoja huwa anaprogram ya Mazoezi ya kiume yanayo weka kurejesha hali halisi ya kimaumbile kwa walioathiriwa na hali hiio na wakawa wanaume kwli kwli
Nenda telegram andika @punda55 nafikiri uanze kupata utatuzi huko kwnza
 
Hili ndio linaweza kuwa mojawapo ya changamoto kubwa wanazokutana nazo vijana wetu.. Na wengi wanaona aibu kufunguka
 
Hili ndio linaweza kuwa mojawapo ya changamoto kubwa wanazokutana nazo vijana wetu.. Na wengi wanaona aibu kufunguka
Yaa sema kuna jina la bwana mmoja mgunduzi wa hiko kitu nimefukunyua kichwan nimekwama ila kama sijakosea sana hio hayo mazoezi yametokana na method moja inaitw kama Chartman method mgunduzi huyu ,alikua anafanya majaribio haikudhibitika kuwa iko sawa ila muhusika alikili inafanya vyema na kwa hapa Bongo huyo Mr @punda55 telegram anatoa huduma vyema na toka aanze ameokoa wengi sana
Nikipata jina mkuu mshana nitaomba tufanye kuziandaa video za namna ya kufanya Mazoezi hayo tusaidie jamii ya kiume .
N:B sikumbuki vyema jina ila nikama C AND CAM chartman method kama yupo aliyewahi sikia atuwekee hapa tutafute kwa kina
 
Nitakukumbusha.. Nimejaribu kufanya search kwangu imegoma! Nadhani spelling sio sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…