Unaweza kuifikia telegram mkuu ,basi chek hilo jina ndan yake kuna maelekezo ktk kundi liloanzishwa na huyu Mr @punda55Nitakukumbusha.. Nimejaribu kufanya search kwangu imegoma! Nadhani spelling sio sahihi
Hyo no 1 Kuna kipindi ilitaka ipite na mimi ashukuliwe sana muumbaAfya ya akili, kukosa ajira, mahusiano, spiritul issues, spiritualism..
Dah pole, kuna kitu inaitwa depression kama ulivuka hapa hakuna kitu kitakuyumbisha kwenye hii dunia!Hyo no 1 Kuna kipindi ilitaka ipite na mimi ashukuliwe sana muumba
I've been through depression more than once. I've been broken into pieces countless times, and there were moments when I felt like I was losing my sanity Looking back, I'm grateful I survived it all.Dah pole, kuna kitu inaitwa depression kama ulivuka hapa hakuna kitu kitakuyumbisha kwenye hii dunia!
Disappointment is always gonna be there, that is how life it is.Kijana mwenzangu
1 angalia circle yako
2 usiamini watu kupita kiasi haijarishi ni tu mzima au kijana mwenzio
3 Jua mipaka yako kwamba hapa asiwepo wa kuvuka
4 Punguza watu wanaonyonya energy yako
5 Focus na kazi yako au biashara
6 Marafiki zako wawekee mipaka
Mwisho kabisa hakuana anaejari kuhusu wewe kuliko wewe mwenyewe
Kua makini na watu unaowakopesha uaminifu wako
Hakikisha huvumilii unyanyasaji udhalilishaji wa aina yoyote kwa ahadi ya vipande vya pesa
Aww Glory be to God!🥰I've been through depression more than once. I've been broken into pieces countless times, and there were moments when I felt like I was losing my sanity Looking back, I'm grateful I survived it all.
ujana wangu ulikua kama grave place, nakumbuka nligive up kila kitu nkaona niwe nasari tu maybe things will change, but now I'm here at peak ndomana hua siachi kuwa thankfully .
When things feels heavy run to GOD kneel and cry a lot, I have TESTIMONY
Watu kuku katisha tamaa ni jambo mojaDisappointment is always gonna be there, that is how life it is.
As long as I'm alive i will tell a taleAww Glory be to God!🥰
Kwakweli siku uje na hii testimony huwezi jua utaokoa vijana wangapi, people are going through hell ni vile tu kila mtu ana woga kufunguka! Am so happy uliweza kujikaza na ukavuka hili! Mungu aendelee kukutetea rafkiangu!🫂
Watalishwa nini mkuu?ikiwa wao kula yao tu ni changamoto!Jamani vijana mjitahidi kupata watoto ndio alama zenu muhimu mtakazoacha duniani.
Kuna ajali, kupoteza kazi, biashara kufail hata kupata magonjwa hizo pia ni disappointment znazo mkumba mwanadam.Watu kuku katisha tamaa ni jambo moja
Wewe kukubari kukata tamaa ni jambo lingine
Kama ukigundua hakuna anaejali kuhusu wewe basi jijali mwenyewe bila kusikiliza sauti za wanaokukatisha tamaa
Na ukweli mchungu dunia ya leo ni muhimu kujiweka kipaumbele wa kwanza kuna uzi na ku tag upitie ukipata chance
Kama hawana kweli cha kuwalisha na mimi sina cha kuwasaidia ,Kila mtu apambane na hali yake.Watwalisha nini mkuu?ikiwa wao kula yao tu ni changamoto!
Upo sahihiKuna ajali, kupoteza kazi, biashara kufail hata kupata magonjwa hizo pia ni disappointment znazo mkumba mwanadam.
Disappointment will always be part of lifeSo it's blessing sometimes.
Thus why i say it once again disappointment is always gonna be there.
Nilishawahi andika humu kuwatia moyo vijana wenzangu nadhani ilikuwa 2021. Hakuna lisilo na mwisho haijalishi unapitia magumu mangapi. Na wale maboya wanaotumia vyeti ndio walitaka kunidhoofisha kabisa lakini wale siku Inakuja watawaponza waking wengi sana kwenye mifumo ya utoaji na huruma.Aww Glory be to God!🥰
Kwakweli siku uje na hii testimony huwezi jua utaokoa vijana wangapi, people are going through hell ni vile tu kila mtu ana woga kufunguka! Am so happy uliweza kujikaza na ukavuka hili! Mungu aendelee kukutetea rafkiangu!🫂
Hapo hujasaidia chochote mkuu! Toa hata mawazo!Kama hawana kweli cha kuwalisha na mimi sina cha kuwasaidia ,Kila mtu apambane na hali yake.
Dahh kuna levels ukifika unamuachia aliye juu apambane nao zaidi! Aisee.. 😔Nilishawahi andika humu kuwatia moyo vijana wenzangu nadhani ilikuwa 2021. Hakuna lisilo na mwisho haijalishi unapitia magumu mangapi. Na wale maboya wanaotumia vyeti ndio walitaka kunidhoofisha kabisa lakini wale siku Inakuja watawaponza waking wengi sana kwenye mifumo ya utoaji na huruma.