Maisha sio kulalamika, ni kupambana tu... Binafsi simuachii Mungu nataka kuleta mageuzi ujinga umekuwa mwingi sana aisee tutaongea vizuri pasipo kutana walk kukejeli na yatawaingiq moyoni na watachukua hatuaDahh kuna levels ukifika unamuachia aliye juu apambane nao zaidi! Aisee.. π
Kabisa! Nilikuwaga na tabia ya kulalamika, kuona kama sijaliwi, ku-expect too much! Na kale ka-negative mindset, kujiona hapa siwezi! Vilitesa sana! Lakini tangu nijitambue na kugundua kwenye haya maisha hakuna mtu wa kukuhurumia, and nobody cares until u win.. nina ujasiri wa ajabu sana! nilijiweka mimi kama mimi, na huwa sijali totally sijui nani ananionaje! As long as hatuna muingiliano kwenye haya maisha, ninafanya what am ought to do. Period!Maisha sio kulalamika, ni kupambana tu...
Dahh! Pole sana mkuu, nitausoma huu uzi nitakupa feedbaq..Thread 'Maisha sio kulalamika, ni kupambana tu...' Maisha sio kulalamika, ni kupambana tu...
Seran pitia huo uzi nimekupa link, somo la uoga nilishapata sifuri. Nakumbuka nilienda TAKUKURU niliwapatq makavu mpaka wakawa wana sweat π
Niliwahi kuisoma hii madaπͺπΏThread 'Maisha sio kulalamika, ni kupambana tu...' Maisha sio kulalamika, ni kupambana tu...
Seran pitia huo uzi nimekupa link, somo la uoga nilishapata sifuri. Nakumbuka nilienda TAKUKURU niliwapa makavu mpaka wakawa wana sweat kwenye kiyoyozi π
Halafu ujinga huo kwa kiasi fulani alisababisha huyo huyo Afisa Usalama, watu ni wa ajabu sana.Niliwahi kuisoma hii madaπͺπΏ
Kuingia kwenye fani ya udereva wa malori baada ya kupata shahada kunaleta faida kubwa ya kifedha na kimkakati, kwani sekta hii inatoa kipato cha haraka na kikubwa kupitia mishahara na posho za safari ikilinganishwa na kazi nyingi za maofisini.Kuna Faida gani na hasara gani kwa kijana kutaka na kuamua kuingia nazima kwenye Fani ya udereva wa malori?
Hasa kama kijana huyo ana shahada akaamua kupiga chini na kuingia moja kwa moja kwenye truck driving
Mkuu mshana JRKuingia kwenye fani ya udereva wa malori baada ya kupata shahada kunaleta faida kubwa ya kifedha na kimkakati, kwani sekta hii inatoa kipato cha haraka na kikubwa kupitia mishahara na posho za safari ikilinganishwa na kazi nyingi za maofisini.
Elimu yako inakupa faida ya kipekee ya kuwa dereva wa kisasa unayeweza kusimamia mifumo ya kidijitali, kuwasiliana kwa lugha ya kimataifa, na kuelewa mnyororo wa usambazaji wa mizigo.
Hali hii inakufanya uaminike kwa haraka na makampuni makubwa ya kikanda na kimataifa, na inakufungulia milango ya kujenga mtandao wa kibiashara utakaokusaidia kumiliki kampuni yako ya usafirishaji hapo mbeleni, huku ukifurahia uhuru wa kusafiri bila kufungiwa ofisini.
Hata hivyo, uamuzi huu una changamoto kubwa za kijamii na kiafya ambazo unapaswa kuzikabili, kuanzia hatari kubwa ya ajali barabarani na magonjwa ya mgongo au shinikizo la damu yanayotokana na kukaa kwa muda mrefu na kukosa usingizi.
Kazi hii itakutenga na familia au marafiki kwa wiki au miezi kadhaa kutokana na safari za masafa marefu na ucheleweshaji wa mipakani.
Zaidi ya hayo, utakutana na changamoto za kisaikolojia ikiwemo uchovu mwingi wa akili unaotokana na hitaji la kuwa makini muda wote, pamoja na mtazamo hasi na maneno ya kukatisha tamaa kutoka kwa jamii inayoamini kuwa udereva ni kazi ya watu wasiosoma.
Kwenye kumjibu mtu kwa ufasaha ni lazima utumie na nyenzo nyingine.. Ila kwa hakika mimi si mtumiaji wa AI kwakuwa nilishawahi kuandika namna inavyodumaza akili za wengiMkuu mshana JR
Nakuheshimu sana sitaki kuamini kama unatumia AI Yani sitaki kuamini
Sahihi nashukuru sanaKwenye kumjibu mtu kwa ufasaha ni lazima utumie na nyenzo nyingine.. Ila kwa hakika mimi si mtumiaji wa AI kwakuwa nilishawahi kuandika namna inavyodumaza akili za wengi
Labda unadhani ni AI Kwakuwa nimegusa vya muhimu tuu bila kuweka madoido ya lugha kama hapa
Harufu mbaya na magonjwa ya zinaa mtu akikaa navyo ataponaje?Changamoto za ndoa kwa vijana wa like
Harufu mbaya sehemu za siri
Magonjwa ya zinaa nk
Mtu mwenye harufu mbaya sehemu za siri na dalili za magonjwa ya zinaa (STI/STD) hawezi kupona yeye mwenyewe bila kupata matibabu sahihi ya hospitali. Magonjwa mengi ya zinaa husababishwa na vimelea vya bakteria, virusi, au fangasi ambao wanahitaji dawa maalum za hospitali ili kuangamizwa kabisa.Harufu mbaya na magonjwa ya zinaa mtu akikaa navyo ataponaje?
Mambo ya matibabu ni siri ya mtu na daktari wake, waende hospitali wasichezee afya.