Uzi Maalum Wa Wachepukagi

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,643
Reaction score
3,301
Wakuu uzi huu ni maalum kwa mabingwa wa kuchepuka ambapo kikubwa tutajadili jinsi wanavohandle michepuko,faida na hasara za michepuko lakini pia tutaangalia swala zima la njia zinazotumika usikamatwe.


Karibuni
 
Kuwe na segment pia ya wanaume wanaosumbuliwa sana na girlfriend /wake zao -okoa jinsia ya kiume programme[emoji23][emoji23]
 
Kipindi hicho nipo chuo nilimtokea binti mmoja hivi ili azibe pengo la huyu ambaye nimemuacha street, huyu wa street alikua ni mfanyakazi so kama atanifuata ni lazima apige simu.

Siku hiyo goma la chuo nimelala nalo na kuamka nalo nyumba kubwa ikaniambia inakuja saa kumi. Ikabidi nianze kutunga uongo ili huyu aende.

Akagoma mpaka gemu lipigwe.

Mi nikaona huu utata sasa jana tumelala sasa hivi hataki kuondoka mpaka gemu na atakayekuja naye atataka gemu, nikajifanya kununa.
Binti haelewi.

Nikaona isiwe shida nikaruka naye viwili, akaondoka.

Nyumba kubwa imefika nikawa naichenga chenga ili nirudishe nguvu angalau kidogo.
Muda wa kuoga nikajua lazima simu itapigwa tu, nikaenda bafuni nikavunja balbu nikajifanya balbu imevunjika hivyo inabidi niende na simu niitumie kama tochi.

Muda wa kulala show zikaanza, kufika show ya tatu nikawa simwagi tena wazungu yanatoka maji tu nikaulizwa vipi nikasema sielewi.

Akajibu kama huelewi basi tuendeleze moto, usiku sikulala.

Na yale maumivu ya kiuno niliyoyapata plus kujiuliza "Hivi kweli navunja balbu ili nichepuke?"

Nikaacha michepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…