Uzi Maalum Wa Wachepukagi

Uzi Maalum Wa Wachepukagi

Mchumba wangu asipite akaona nimeweka comment humu
 
Kipindi hicho nipo chuo nilimtokea binti mmoja hivi ili azibe pengo la huyu ambaye nimemuacha street, huyu wa street alikua ni mfanyakazi so kama atanifuata ni lazima apige simu.

Siku hiyo goma la chuo nimelala nalo na kuamka nalo nyumba kubwa ikaniambia inakuja saa kumi. Ikabidi nianze kutunga uongo ili huyu aende.

Akagoma mpaka gemu lipigwe.

Mi nikaona huu utata sasa jana tumelala sasa hivi hataki kuondoka mpaka gemu na atakayekuja naye atataka gemu, nikajifanya kununa.
Binti haelewi.

Nikaona isiwe shida nikaruka naye viwili, akaondoka.

Nyumba kubwa imefika nikawa naichenga chenga ili nirudishe nguvu angalau kidogo.
Muda wa kuoga nikajua lazima simu itapigwa tu, nikaenda bafuni nikavunja balbu nikajifanya balbu imevunjika hivyo inabidi niende na simu niitumie kama tochi.

Muda wa kulala show zikaanza, kufika show ya tatu nikawa simwagi tena wazungu yanatoka maji tu nikaulizwa vipi nikasema sielewi.

Akajibu kama huelewi basi tuendeleze moto, usiku sikulala.

Na yale maumivu ya kiuno niliyoyapata plus kujiuliza "Hivi kweli navunja balbu ili nichepuke?"

Nikaacha michepuko.

mkuu we ulikuwa kiboko,wasiwasi wangu siku nyingine utakuja kuvunja na mita kabisa
 
Screenshot_2017-07-04-18-13-22.png
 
Mnachokitafuta mtakipata tu mbona mnataja faida tuu semeni na hasara mbona maradhi mnayopelekea wake zenu hamyasemi?[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mnachokitafuta mtakipata tu mbona mnataja faida tuu semeni na hasara mbona maradhi mnayopelekea wake zenu hamyasemi?[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Back
Top Bottom