Uzi maalum wa wake kwa wayne.

Uzi maalum wa wake kwa wayne.

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Kwa nini hawa wake zetu, kabla ya kuolewa wanakuwa, watulivu sana na heshima, na adabu juu, ukishaoa na kuweka ndani tu, wanajitutumua kwa viburi, ujeuri, dharau, upendo, masikilizano, utoweka na vitimbwi juu, kwa nini inakuwa hivi, mpaka inatokea kujuta!!! Mods naomba mnilindie uzi wangu, pia angalizo kama una comments unaweza kupita tu, sio lazima ukoment NAWASILISHA.
 
343a511149437f96784ef1723fb1ef98.jpg
 
ffecc7909bc84cbe06d64d1d3e5bf4a2.jpg
Dalili ya mwanamke anaetoka nje, ya ndoa.
 
Wayne au ndio waume?? Sijui unaharaka ya nini Wakati idea ya UZI ni yako kaka
 
Na ndoa nyingi azina upendo wa dhati, kuna kitu mtu anakitaka, atakapofanikiwa, kukipata ndio kibri kinapoanza, hao ndio binadamu wa leo.
 
Back
Top Bottom