Uzi maalum wacheza soka wa zamani kuwataja walipo na timu walizochezea 1990 kurudi nyuma

Uzi maalum wacheza soka wa zamani kuwataja walipo na timu walizochezea 1990 kurudi nyuma

moses mkandawile,,john bosco,iddi pazi,,,patric mwangata,,,athumani mambosasa,,omar mahadhi,,mohamed mwameja,,,raphael paul, ,michael kidilu,,jamuhuri kiwelu,,kiwelu mussa,,,shaban mussa,,mrage wa kabange,,,francis mwikalo,,dan muhoja,,john makelele,,malota soma,,bakari idd,,,edward chumila,,twaha hamidu,,,issa kihange,,itutu kiggi,,zuberi magoha,,sunday juma,,aston pardon,,daniel manemba,,eric sagala,,mohamed bakari tall,,aloo mwitu,,abdalah kibaden,,chogo chemba,,frank kassanga,,adam seleman,,juma limonga,,seleman methew,,,daud salim,,ramadhani lenny,,hamiss gaga,,,nico njohole,,mohamed kajole,,,,gebo peter,,,madaraka seleman,,omar hussein,,zamoyoni mogela,,,lila shomari,,,abdalah kilomoni,,,jumanne maciment,mtemi ramadhani..,abdalah mwinyi mkuu,,,,ezekiel greyson juju man,,nelson semfukwe,,fumo felician,,deo mkuki,,madata lubigisa,,beya simba,,kitwana selemani,,nico bambaga,,wastara bari bari,,khalfan ngassa,,kichochi lemba,paul chungura,,,celestin sikinde mbunga,,peter tino,,salim waziri,,saidi kolongo,,idrissa ngulungu,,rostan ndunguru,,razak yusuph..mchunga bakari,,david rogers,,ally maumba,,juma mgunda,,razak yusuph,,husein mwakuruzo,,hamis makene,,victor mkwanwa,,,taitus bandawe,,Mohamed kidish,,seif bausi,,mohamed kachumbari,,rifat said,,dua said,,joseph fungo,,hamis kinye,,minziro,,yusuph bana,,keneth mkapa..issa athuman,,athumani china,,rasheed idd chama,,athuman juma chama,,alan shomari,,abed mziba,,makumbi juma,,muhidini cheupe,,sahau kambi,,godwin aswile,,hamadi lumbi,,kanyoro, ,muktar simba,,bangababo,,,
Hongera mkuu ww lazima utakuwa Ssc , frank kasanga , abbas kuka , erick sagala , michael kidilu ,'juma limonga, fikiri magoso, twaha hamidu , Viva SSC
 
Duuu umenikumbusha Mbali Mkuu
 
Hutu Jamaa Alicheza juzi tuu alisajiliwa na Yanga 1995 pamoja na Ngandu ramadhani
 
Kuna MTU alikuwa anaitwa Selemani Pembe was Sigara. "guy LA selemani pembe was Sigara wakati huo mwaka 1989 nikiwa Darasa LA Kwanza daftari Zikiisha tuu naokota magazeti ya Michezo naweka na gundi nakata na wembe picha Zao basis Daftari zima linajaa Picha za wachezaji...
Nilikuwa napenda sana Moira Aisee sins hela Lakini nasubiria Nje ya lango mpaka Fungulia Mbwa ifike ndo atunaingia!
 
Kuna mchezaji alikuwa anaitwa Damian Kimti, nadhani alichezea simba. Huyu hadi kuna viatu viliandikwa Kimti. Kwa wanaofahamu zaidi kumuhusu please mwageni taarifa.
 
Eddefonce Amlima.
Team: Bandari Mtwara.
Maali alipo: Mtwara.
Shughuli: anasindikiza Korosho za wahindi kutoka ktk vyama vya msingi kwenda bandari ya Mtwara au Dar.
 
Nani mhenga anamkumbuka Constantine Kimanda yule mchezaji wa DRC alisajiliwa kati ya Yanga au Simba mwaka 1978
Anaishi Belgium sasa hivi niliona Eddo Kumwembe alipiga naye picha nadhan mwanzoni mwa mwaka huu
 
Joel Bendera
Selestine Sikinde Mbunga
Abeid Mziba
 
Leodigar Tenga,Nonda Shaaban papiii,Constatine kinanda,Ngandou Ramadhani,Fredy Mayaula A kaayaula mayoni,Sanifu Lazaro tingisha,Fred Felix Minziro,Lawrence Mwalsako.Juma Baraza,Ben Mwalala.
ni Costantine Kimanda...huyu alikuwa raia wa kigeni
 
Kuna MTU alikuwa anaitwa Selemani Pembe was Sigara. "guy LA selemani pembe was Sigara wakati huo mwaka 1989 nikiwa Darasa LA Kwanza daftari Zikiisha tuu naokota magazeti ya Michezo naweka na gundi nakata na wembe picha Zao basis Daftari zima linajaa Picha za wachezaji...
Nilikuwa napenda sana Moira Aisee sins hela Lakini nasubiria Nje ya lango mpaka Fungulia Mbwa ifike ndo atunaingia!
Seleman pembe , julius mwakatika, aziz nyoni, mascat said etc sigara hiyo
 
Kaka mimi , nilivyoona nikajua lazima SSC, pale jangwani na udsm ssc walikuwa wanafanya mazoezi , namkumbuka marehemu aston pardon na raphael paul , godwin aswile ,etc
yaa,,huyo aston padon alitoka tukuyu star pamoja na michae kidilu,,,simba hyo ilinusurika kushuka daraja mara kadhaa,,,mfadhili alijuwa jabir shika mkono,,,mkandawile golini,mbili raphael paul,,,,tatu kidilu,,nne adam seleman,,,sentahafu juma limonga,,,,six aston pardon,,saba issa kihange,,,road masta,,nane dan muhoja ,tisa john makelele,,na ,kumi malota soma,,,,kumi na moja edward chumila,,hapo golikipa akiba ni juma shamte, na john bosco,,abuu bakar kombo,,,francis mwikalo,,,seleman methew,,idd selemani,,,daniel manembe,,,sunday juma,,itutu kigi wapo banch,,,
 
kuna issa mwakatika na ndugu yake julius mwakatika,,walikuwa pilsner au sigara kama sikosei,,,hawa jamaa wananyoa upara tu ,,halafu zamani simba au yanga zikicheza na timu za dar,,,ujuwe hapo shughuli nzito sn,,nyota nyekundu,,pan africa,,pilsner,,sigara,,huku majimaji kuna Octovian mrope,,peter tino,,,selestin sikinde mbunga,,,left wing bora hyo,,, ni balaa wakikutana na raphael paul ,,,huku pamba mwanza akina Paul chungura golini,,mao mkhami kiungo wa chini,,halfan ngasa juu, fumo kumi,,kitwana seleman tisa,,kuna hamza mponda,,,hao wanajiita tupwisa lindanda,,ni hatari sana,coast hamis makene golini,,,,idriss ngulungu,,saidi kolongo,,ally maumba,,mchunga bakari,,husein mwakuluzo,,juma mgunda ,,razak yusuph careka,,hapo chura huwa hatoki,,iwe taifa au mkwakwani,,african sports wao wana striker lao victor nkanwa,,reli kuna madundo mtambo lazima akuue,,kuna fundi wangu wa miaka ya 806 dicson sembuli,,,haidari abeid,,adam sabu,,huku yanga wana joseph fungo golini,,na hamiss kinye,,mbili bana,, ahmed ahmed amasha,,rasheed idd chama,,na athuman juma chama,,juma mkambi,,omar hussein,,muhidini cheupe,, abed mziba ,,makumbi juma,,abubakar salum sure boy,,
 
Back
Top Bottom