Uzi maalum: Wapenda mazoezi ya viungo tukutane hapa kwa maoni, ushauri, aina za mazoezi, faida zake n.k

Asante mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaurefu wa 165cm na uzito wa 80kg means nimfupi mnene unategemea atapiga ngapi?? Afanye cardio workout kwa mda mrefu yaan 30-45mins.
Push up nyingi nikwaajili ya strengh na kujenga misuli, yeye cardio itamfaa zaid kwakuanzia ataondoa mafuta namanyama uzembe
Push up 50 acha utoto wewe huoni aibu


State agent

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020 nani anaendelea na mazoezi?? Nimeumia kidogo mazoezi ya kukimbia nimesimamisha.
 
Mimi nina 205cm na 65kg i look so weak in this height halaf ni hard gainer nakula kinoma noma sema sasa mishe zangu zinanifanya pattern yangu ya msosi inakua haieleweki ila hii january nmpanga nianze zoez je nipige zoezi gan na lisilo burn calories maana dhumuni ni kuongeza uzito na msosi pia ushauri wenu wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…