Zimba XXV
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,649
- 3,779
Duuu mi hiyo ndio my record break pace kwa 6Km jana nilijitutumua kwa kweli 5:56 Kutoka 5:58 hizo 2 nafikiri unajua ilivo ngumu kupunguza Pace ya nne siji ifikia labda nikimbie 2Km only nitoke mkuku mkuku maana najua pafupi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisa mkuu.
Hatupishani sana kwenye pace ila mimi nataka nipambane walau nifikie 5:20 per Km.
Juzi nilijivuta nikamaliza na pace ya 5:31 per Km kwa umbali wa 9.8Km.
Leo nimepumzika nakula sikukuu kwanza ila kesho ntakomaa nione ntafikia wapi.
Nia yangu baadae huko mbeleni niwe nakimbia kwa wastani wa 4min per Km.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app