Wewe ni ngemse huna zika.wazee wa kuondoa mastress
acha leo tutoe mastress kwa kuongea kinyumenyume katika hii thread.
acha nianze kutiririka kirivasirivasi!
Nimeaka muho nakiche muvi(nimekaa homu nacheki muvi)hahah rivasi raha sana
mwagikeni na nyie huu ni uzi wa rivasi tu tujiachie tucheke hadi kinyumenyume hahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
man umeniacha bingwa wa rivasi embu tafsirUkisanuk ubirajilin tahcuk awk onditm ouh awepakin nab.
Jitahidi uelewe, hiko ni kiswahili kabisaa mku
Yaani upigwa ban kwa kuandika hivyo mkuu ua kuna lugha chafu uliitumia?Ukisanuk ubirajilin tahcuk awk onditm ouh awepakin nab.(najua wengi nimewaacha kwenye mataa... Ni wajanja wachache sana wataelewa nimeandika kitu gani)
itawaku kinachi chohi!(itakuwa kichina hicho)Ukisanuk ubirajilin tahcuk awk onditm ouh awepakin nab.(najua wengi nimewaacha kwenye mataa... Ni wajanja wachache sana wataelewa nimeandika kitu gani)
Kuna siku nilijaribu kuchat kwa mtindo huo nikapewa banUkisanuk ubirajilin tahcuk awk onditm ouh awepakin nab.(najua wengi nimewaacha kwenye mataa... Ni wajanja wachache sana wataelewa nimeandika kitu gani)
Dah salute mkuu... yeah nilipigwa ban cuz mods walikuwa hawaelewi tunachat kitu gani, wakati huo nakumbuka tulikuwa mimi, Raimundo na Madame S(kama sikosei).Yaani upigwa ban kwa kuandika hivyo mkuu ua kuna lugha chafu uliitumia?
utamwapi mjokoKuna siku nilijaribu kuchat kwa mtindo huo nikapewa ban
Kuna siku ulijaribu huo mtindo wa kuchat ukapewa ban.Ukisanuk ubirajilin tahcuk awk onditm ouh awepakin nab.(najua wengi nimewaacha kwenye mataa... Ni wajanja wachache sana wataelewa nimeandika kitu gani)
Labda walihisi mnampango wa kuhack sever zao kwa lugha yenu ya kupindua.Dah salute mkuu... yeah nilipigwa ban cuz mods walikuwa hawaelewi tunachat kitu gani, wakati huo nakumbuka tulikuwa mimi, Raimundo na Madame S(kama sikosei).
So tulikula ban na mods wakatupa onyo kwamba tuongee lugha mbili tu, Swahili& english
Sio kichina mkuu, ni kiswahili sanifu kabisaOis anihcik uukm, in ilihawsik ufinas asibak
Kuna siku nilijaribu kuchat kwa mtindo huu nimepewa banUkisanuk ubirajilin tahcuk awk onditm ouh awepakin nab.(najua wengi nimewaacha kwenye mataa... Ni wajanja wachache sana wataelewa nimeandika kitu gani)
Wewe ni ngemse huna zika.