Uzi maalumu au spesheli kwa kuongea kinyumekinyume(rivasi)

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
wazee wa kuondoa mastress

acha leo tutoe mastress kwa kuongea kinyumenyume katika hii thread.
acha nianze kutiririka kirivasirivasi!

Nimeaka muho nakiche muvi(nimekaa homu nacheki muvi)hahah rivasi raha sana
mwagikeni na nyie huu ni uzi wa rivasi tu tujiachie tucheke hadi kinyumenyume hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni ngemse huna zika.
 
Mi nakunywa hela kutokana na pombe yangu
 
Ukisanuk ubirajilin tahcuk awk onditm ouh awepakin nab.(najua wengi nimewaacha kwenye mataa... Ni wajanja wachache sana wataelewa nimeandika kitu gani)
Yaani upigwa ban kwa kuandika hivyo mkuu ua kuna lugha chafu uliitumia?
 
Kuna siku nilijaribu kuchat kwa mtindo huo nikapewa ban
 
Yaani upigwa ban kwa kuandika hivyo mkuu ua kuna lugha chafu uliitumia?
Dah salute mkuu... yeah nilipigwa ban cuz mods walikuwa hawaelewi tunachat kitu gani, wakati huo nakumbuka tulikuwa mimi, Raimundo na Madame S(kama sikosei).
So tulikula ban na mods wakatupa onyo kwamba tuongee lugha mbili tu, Swahili& english
 
Ukisanuk ubirajilin tahcuk awk onditm ouh awepakin nab.(najua wengi nimewaacha kwenye mataa... Ni wajanja wachache sana wataelewa nimeandika kitu gani)
Kuna siku ulijaribu huo mtindo wa kuchat ukapewa ban.
 
Dah salute mkuu... yeah nilipigwa ban cuz mods walikuwa hawaelewi tunachat kitu gani, wakati huo nakumbuka tulikuwa mimi, Raimundo na Madame S(kama sikosei).
So tulikula ban na mods wakatupa onyo kwamba tuongee lugha mbili tu, Swahili& english
Labda walihisi mnampango wa kuhack sever zao kwa lugha yenu ya kupindua.
 
Back
Top Bottom