Unaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi. Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji. Tunguli na maji ni vitu...