Karibuni wadau.
Nashauri kila mtu aseme nini kinaendelea pahala alipo ili kama ni dharura isaidie kufikisha ujumbe kwa mamlaka husika. na kama ni heri labda unakula supu au mishkaki napo si mbaya ukitutoa udenda.
Mimi kwa kuanzia nipo mitaa ya Ilala boma kwa sasa. Naelekea kibaruani kwangu maeneo ya Kurasini. Na nimechelewa sijuwi nitamuambia nini kanjibai. Baada ya mvua nyingi naona pametulia kidogo na pilika za kuusaka mkate wa siku zinaendelea.
Karibuni.