Uzi maalumu kuonesha namna nchi za wenzetu zilivyojengeka vizuri

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Huu ni uzi maalumu wa kuonesha picha na video fupi ya miji na maeneo ya nchi mbalimbali zenye maendeleo bora namna zilivyojengeka vizuri.

Iwe U.S.A, Singapore, Germany, Saudia, China, Japan, France, UK, Canada na nyingine nyingi.

Masharti ya uzi
* Location ya nchi, miji ikiambatana na picha au video

* Kama ikikupendeza basi maelezo madogo kuhusu huo miji toa( ulivyo pangiliwa na mengine mengi )

* Huu uzi sio kijiwe cha kupigia umbea ni video na picha basi

N.b
Kuna vitu tunaweza pata, jifunza au kuvutiwa navyo kwa hawa wenzetu waliofanikiwa.

Naanza mimi na hizi
Chongqing,China

Shenzhen,China
Shanghai, China
Beijing, China

Next U.S.A, Singapore, Saudia Arabia.......... Stay tuned
 
Sema nini wanangu haya majamaa yapo vizuri yametupiga gape kubwa.

Maneno kidogo video na picha kwa wingi.

Tupia picha na video hapa chini ⏬. remember ni picha na video fupi tu.
 
Wenzenu hata ujenzi wa nyumba binafsi unazingatia masterplan...

Mbongo kujenga nyumba yake anataka aguate akili yake inavyomtuma...

Tazama namna ambavyo makazi yanajengwa kwa kufuata masterplan ya mji, hapa ni Vegas...





Nyumba hizi ni mbao tupu ?
 
Wenzenu hata ujenzi wa nyumba binafsi unazingatia masterplan...

Mbongo kujenga nyumba yake anataka aguate akili yake inavyomtuma...

Tazama namna ambavyo makazi yanajengwa kwa kufuata masterplan ya mji, hapa ni Vegas...





Wenzetu wanajenga na Wanaachiana nafac ya kutosha hewa iweze kuingiaa ndan ..

Wabongo ss tunajijengea maukuta makubwa na vile nyumba zimebanana bac hewa safi kuipataa tabu tupu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…