Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #41
Seoul, South Korea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pametulia haswa
Kuna siku utatimiza kuwa mvumilivu tuAcha kabisa ndoto yangu siku moja nifike tu Los angle, japo naona itabaki ndoto tu😎😎
Tena na ubishi juu Sisi ni manyani mtuWenzenu hata ujenzi wa nyumba binafsi unazingatia masterplan...
Mbongo kujenga nyumba yake anataka aguate akili yake inavyomtuma...
Tazama namna ambavyo makazi yanajengwa kwa kufuata masterplan ya mji, hapa ni Vegas...
![]()
![]()
![]()
Du nomaNew York, U.S.AView attachment 2737488
nGoja na mm nipost za kijjn kwetu meruDah noma sana wakuu
Miaka michache tu wamekwisha kimbia Dubai inatisha
Upepo kidogo tu, mji wote unakuwa flat.
Tunajitahidi kujenga uimara, tofauti na wao wanatumia mbao.tornado au hurricane waita ni upepo kidogo...😇, sisi nchi zetu tushukuru Mungu sana hakuna mambo ya vimbunga au pepo za kisulisuli la sivyo
Tunajitahidi kujenga uimara, tofauti na wao wanatumia mbao.
Uko serious mkuu?Mzena Hospital Kijitonyama.
View attachment 2737469