Uzi maalumu kuonesha namna nchi za wenzetu zilivyojengeka vizuri

Wenzenu hata ujenzi wa nyumba binafsi unazingatia masterplan...

Mbongo kujenga nyumba yake anataka aguate akili yake inavyomtuma...

Tazama namna ambavyo makazi yanajengwa kwa kufuata masterplan ya mji, hapa ni Vegas...

Tena na ubishi juu Sisi ni manyani mtu
 
Ecoducts, Railway, Highway, Roads, Walkways, in breda the Netherlands
 
Upepo kidogo tu, mji wote unakuwa flat.

tornado au hurricane waita ni upepo kidogo...😇, sisi nchi zetu tushukuru Mungu sana hakuna mambo ya vimbunga au pepo za kisulisuli la sivyo
 
tornado au hurricane waita ni upepo kidogo...😇, sisi nchi zetu tushukuru Mungu sana hakuna mambo ya vimbunga au pepo za kisulisuli la sivyo
Tunajitahidi kujenga uimara, tofauti na wao wanatumia mbao.
 
Tunajitahidi kujenga uimara, tofauti na wao wanatumia mbao.

Hizo nyumba ni imara sana, nyumba inakaa hata miaka 40 au zaidi kabla ya kufanyiwa fixer upper au kufanyiwa total flip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…