Uzi maalumu kuwaenzi Waandishi wakongwe kwa njia ya kuweka misemo au nukuu maarufu kupitia vitabu vyao

Uzi maalumu kuwaenzi Waandishi wakongwe kwa njia ya kuweka misemo au nukuu maarufu kupitia vitabu vyao

The only person you are destined to become is the person you decide to be. ~Ralph Waldo Emerson
 
Wilson Kaigarula alikuwa na column yake nafikiri Sunday News inaitwa "With A Light Touch".

Nilisema hiki Kiingereza piga ua galagaza ni lazima nikijue tu, hata kama nasoma kwa kuangalia kamusi pembeni, lakini sitaki anachoandika huyu bwana kinipite.

Nikakomaa naye mpaka nimekiweza kwa kiasi changu.

Ukiona Kiranga ana Kiingereza kigumu (kama wanavyosema wengine, ingawa ni cha kawaida sana)ujue safari ilianza muda mrefu tangu enzi za kusoma kina Wilson Kaigarula.

RIP.

To be a good patriot one inevitably becomes the enemy of the majority of mankind. ~Voltaire
 
Mkuu hii inasaidia vipi kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi yetu dhidi ya US dolar na sarafu nyingine za kigeni?
Kupata topiki au nyuzi za kusaidia hilo, NENDA JUKWAA LA UCHUMI shenzi weweeee...!!! Unataka kila jukwaa kujae uchumi tu?
 
Wilson Kaigarula alikuwa na column yake nafikiri Sunday News inaitwa "With A Light Touch".

Nilisema hiki Kiingereza piga ua galagaza ni lazima nikijue tu, hata kama nasoma kwa kuangalia kamusi pembeni, lakini sitaki anachoandika huyu bwana kinipite.

Nikakomaa naye mpaka nimekiweza kwa kiasi changu.

Ukiona Kiranga ana Kiingereza kigumu (kama wanavyosema wengine, ingawa ni cha kawaida sana)ujue safari ilianza muda mrefu tangu enzi za kusoma kina Wilson Kaigarula.

RIP.

hivi huyu Wilson Kaigarula alipotelea wapi?
Nilikuwa namsoma kwenye sunday news miaka ya 1982 nikiwa form four n ilikuwa simuelewi ila nakuwa na dictionary pembeni.
Ila nashukuru ndio alijenga kingereza changu
Ila alini affect kitu kimoja
Kujua lugha sio kujua misamiati ya maneno bali ni kujua jinsi ya kujua jinsi ya kuiunganisha kupata sentensi.
Kuna grammar english na bombastic english mtu akiongea bombastic unaweza muona wa maana sana ila ki ukweli sio waingereza wenyewe wa London wanaongea grammar english
 
Mkuu hii inasaidia vipi kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi yetu dhidi ya US dolar na sarafu nyingine za kigeni?
Acha kumzodoa mwenzako hapa tunaelimishana na kupeana burudani.Mambo ya kuporomoka dola dhidi ya shillingi waachie benki kuu na wachumi.
Wewe uliyetoa point hii unaonekana hata elimu yako ina ukakasi
 
hivi huyu Wilson Kaigarula alipotelea wapi?
Nilikuwa namsoma kwenye sunday news miaka ya 1982 nikiwa form four n ilikuwa simuelewi ila nakuwa na dictionary pembeni.
Ila nashukuru ndio alijenga kingereza changu
Ila alini affect kitu kimoja
Kujua lugha sio kujua misamiati ya maneno bali ni kujua jinsi ya kujua jinsi ya kuiunganisha kupata sentensi.
Kuna grammar english na bombastic english mtu akiongea bombastic unaweza muona wa maana sana ila ki ukweli sio waingereza wenyewe wa London wanaongea grammar english
Wilson Kaigarula alifariki mwaka 2022.
RIP.

Wewe ni kama mimi, watu wengi tulijifunza Kiingereza kwa kutumia makala zake.

Mkuu hii inasaidia vipi kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi yetu dhidi ya US dolar na sarafu nyingine za kigeni?
Hili sio jukwaa la Uchumi hili swali ungelipeleka kule usimkatishe tamaa mtoa mada
swala la kuporomoka kwa shillingi yetu sisi sio wa kwanza ziko nchi ambazo hela yao imeporomoka mno dhidi ya dola lakini zina maendeleo makubwa kuliko nchi yetu nitakupa mfano
Nchi ya Indonesia dola yake moja ni sawa na rupia za Indonesia 15,236
Sisi dola moja ni sawa na shillingi 2493
Je kati ya sisi na Indonesia nani wameendelea kama sio wao?
Nchi ya Comoro dola moja ni sawa na faranga 449 ina maana ina dhamani kuliko sisi lakini ajabu kati ya nchi masikini nao wapo tumewazidi mbali mno.
Msumbiji ni masikini kuliko sisi lakini dola moja ni sawa na meticall 63.
Italy ni nchi iliyoendelea mno na viwanda na katika G5 nchi zenye viwanda duniani na maendeleo makubwa lakini sasa ukiambiwa dola moja ni sawa na lira 1,828
Hela yenye thamani kuliko nchi yeyote duniani kuliko hata Marekani yaani dola ya marekani ni kuwait
Dola 100 za marekani ni sawa na dinar 31 tu lakini marekani ndio nchi iliyoendelea kiviwanda na kijeshi kiliko kuwait.

Kuna ka nchi kanaitwa Eritrea ni masikini kuliko Tanzania hela yao inaitwa Nakfa lakini dola moja ni sawa na Nakfa 15
Mambo ya uchumi ni magumu sana kuelewa huwezi kukaa tu kwenye kiti una discuss dola kushuka we kunywa ugimbi wako fanya kazi mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe ya kaisari mpe kaisari ya Augusto mpe Auguto ya mungu mpe mungu.
Haya mambo waachie benki kuu ndio wanajua sisi hapa kijiweni tunaelimishana mambo mengine kabisa
 
Kwa nini mkuu
1. Ni kizuri.
2. Kina kurasa nyingi. Lazima uwe umedhamiria ndiyo utaweza kukimaliza. Nakumbuka nilipokipata kwa mara ya kwanza (hard copy), niliahirisha karibia kila kitu isipokuwa kula nikakimaliza kukisoma ndani ya masaa 48.
 
Back
Top Bottom