Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Audio au Video?Kama kuna mtu ana nyimbo zifuatazo anisaidie
"ohooo lulu iko mbinguni"
"katika viumbe vyote vilivyoumba binadamu kaumbika kuliko vyote"
"malebo kakataa kuokoka"
Sikumbuki majina ya walioimba ni akina nani, kichwa changu memory yake ndogo ni 2GB na kimejaa kwa sasa, mnisamehe
Na Mimi Kuna Nyimbo Natafuta:Thanks, Mungu awabariki sana naenjoy hapa,
hizi ndizo nyimbo zilizotungwa kumtukuza Mungu wa kweli sio hawa bongo fleva wa leo macho kodo kwenye hela tuu!
Ahahaha,mkuu Asante!you have taken my memories way back in the past!Katika Njia ya Injili
Nijaposema kwa Lugha
Asante Mkuu"Katika Njia ya Injili
Nijaposema kwa Lugha
Pamoja sana,mkuuAhsante Kilimba
Dah, umenikumbusha mbali sana mkuu, nimetoa na machozi, dah!!