contask
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 780
- 1,579
Habari wakuu.
iKiwa juma tatu tulivu na yenye majonzi kwa ndugu zetu watanzania waliopata maafa ya kuangukiwa na kifusi, Mungu azidi kutia wepesi katika ukozi wa ndugu zetu waliopo chini ya kifusi
NImefunguu uzi huu ikiwa ni moja kwa moja katika jitihada za kupeana michongo kwa vijana,wafanya biashara na pia na wahitimu wavyuo vikuu(jobless) pia na watu ambao ni multipurpose kwenye michongo ya pesa katika kujikwamua kichumi.
MImi ni kijana ambae najishugulisha kwa uuzaji wa simu used na mpya kutoka nje yaani dubai,uk,Japan kwa bei ya jumla na rejareja
Brand za simu hizo ni kama Samsung galaxy, vivo, oppo, aquos, redmi,huawei, google pixel na nyingine nyingi
Nimefungua huu uzi kwa leo la kuwaunganisha vijana wenzangu ambao bado tunajitafuta kiuchumi, ikiwa lengo kuu ni kuuza simu katika maeno yote ndani ya nchi
kwa wakati huo nitakua nawauzia simu kwa bei ya jumla na nitawapa acccess ya dukani kwa kuweza kuchukua simu hizo hizo either kwa kumleta mteja akamuuzia kwa bei yake au yeye mwenyewe akachukua kwa matumizi yake
Mtaji wako ni bundle tu na communication skills na networking katika kufikia lengo
Bei ni kuanzia 90,000 nakuendelea
Mfano wa simu hizo
Samsung note 20 utra bei ya jumla ni 460,000 ,s10 plus ni 350,000 s10 plain ni 320,000 na zingine nyingi
Nitankuunganisha kwenye community group ambalo nitakua natuma bei za simu,
Ukimleta mteja atahudumiwa kwa bei ambayo mumekubaliana na hela yako utatumiwa hapo hapo
ahsante.