Wakat unafanya kuandaa app.. Lazma Pc iwe connected kwenye internet ?
App hauandai tu kama kalatasi
Lazima uwe na software zinaitwa SDK
Wakati una unda app unatakiwa kuwa online haijalishi app yako itakuwa ya offline au dynamic
Kwa kuwa kinacho tengeneza ni software na software inategemea resources kutoka sehemu mbalimbali kulingana na code zako
Kama software kwa mda huo haina library ya kujengea function flani inaibidi i download online muda huo huo ndio ikutengenezee app
Kama code zako sio complex basi hata offline unaweza tengeneza kwa maana iki download library huwa ai zifuti zinakuwa zinatumika tu
Muda ambao zinakuwa zinahitajika
Mimi mara natumia ANDROID STUDIO na ili i function offline lazima ile bando hata 5gb ndio utakuwa unaitumia offline
Kama unahitaji kujifunza mambo haya zaidi
Unaweza kunitafuta 0682329852
Ili kupata vitabu vya kiswahili vitakavyo kujengea uwezo wa kuwa Developer chini ya usimamizi wangu