Maqal
Member
- Jan 15, 2021
- 9
- 5
Vizuri, usikate tamaa.Nimeanza safari ya kuwa app developer
Inahitaji muda na mazoezi ya kutosha.
Sometime inaboa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri, usikate tamaa.Nimeanza safari ya kuwa app developer
nenda GitHub Kuna open source code nyingi mno ushindwe mwenyewe tuu ku search.Mwalimu nina shida na source code za app ya android media player, hususan audio. Kama zipo please naziomba. Thanks.
Kama wewe ni mgeni kwenye Industry ya programming basi, unatakiwa uanze kujifunza masuala ya programming,Habari WAKUU
Samahani wakuu , naomba msaada wenu nikitaka kuwa app developer nifanyeje kujifunza kutengeneza my own app au kuziboresha nyingine
Jifunze programming acha uvivu,Mwalimu nina shida na source code za app ya android media player, hususan audio. Kama zipo please naziomba. Thanks.
Sio swala jepesi mkuuJifunze programming acha uvivu,
Ukatengeneza kitu kwa mikono yako kinakuwa pure! Na rahisi kuweza kukimantain.
Take time learn how to code your own app.
Naamini anaweza ni kazi rahisi. Kikubwa muda tu. Si kazi ngumu kabisa ni Nyepesi sana, inayohitaji muda mwingi.Sio swala jepesi mkuu
Codes lazima utenge muda
Fanya kazi tafuta Hela nunua bundleNamna gani nawezaje kutumia bando la bure kwa mitandao ya tigo, Vodacom na Airtel
Wakat unafanya kuandaa app.. Lazma Pc iwe connected kwenye internet ?![]()
Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za Android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata pasipo kuwa na ujuzi wowote kuhusu programming, hapa itakuwa ni tofauti.
Imani yangu wale wote ambao watakuwa na mwamko wa kujifunza kuunda apps za Android ni kwamba wana ufahamu wa kufanya programming kwa kutumia JAVA ama OOP language yoyote na pia wana uelewa hata kidogo kuhusu xml (Extensible Markup Language).
Mtindo ambao tutajifunza ni kwa namna ya ku-develop projects (apps) mwanzo mwisho, na tutakopofika ukingoni mwa mafunzo haya ningeomba tushirikiane kwa pamoja kuunda app ambayo itakuwa nzuri na kisha tuunde hata team ambayo tutaweza kuunda apps mbalimbali.
Zifuatazo ni projects ambazo tutazifanya kupitia uzi huu:
1. Welcome App
2. Android Media Player
3. Tip Calculator App
4. Music Event App
5. Uber Clone
6. Messaging App (Whatsapp Clone)
7. Flag Quiz App
9. Cannon Game App
10. Weather App
11. Media, Videos and Sound Apps
12. Instagram Clone
Karibuni nyote.
inategemeana unataka kutengeneza apps gani, kama unatengeneza apps za online lazima udeal na API ambazo ukiwa offline itakuwa impossible. but kama unatengeneza apps za kawaida kama camera apps, music player, notepad app.. itakuwa haina shida ukiewa offlineWakat unafanya kuandaa app.. Lazma Pc iwe connected kwenye internet ?
Soma Dart language. Utafanya code moja ya flutter then utatoa, iOS, Apk na web app/ desktop appNa je ukitaka pia hiyo Android app iwe pia desktop app unafanyaje?
Flutter ndo suruhisho la shida yakoNikitaka hiyo app ipatikane iPhone inakuwaje??