Developer Tips.
Developers na wote ambao wanajifunza utengenezaji wa android apps mnatakiwa kuwa updates na mabadiliko ya versions za android.
Google wanatarajia kuja na android 9(android pie) kuna mambo mapya yameongezwa.
Kwa upande wa developers pia kuna changamoto,
Google huwa wanaondoa baadhi ya class na methods hizi huwa zinaitwa (deprecated class au methods).
Ili kuzijua ni vizuri kuwa unatembelea google developer website vinginevyo unaweza jikuta tengeneza app ambayo haifanyi kazi kwenye versions mpya za android.
Katika somo letu kuna codes hapo nyuma nilitumia method ya managedQuery kwa ajili ya kuaccess mafile yalio kwenye simu.
In fact hii method haifanyi kazi kuanzia android 5 hivyo code iliyofuata nilitumia ContentResolver kufanya operation ya query.
Siku njema muda si mrefu nitaendelea na somo kama mnavyojua programming ni very complicated kuna kukosea.